MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

Mwanangu ukaanzisha na uzi kabisa??

Hahahahaha
 
Inasaidia nini kwenye Football ? umewahi kuona Barca ,Real Madrid au PSG wakifanya harakati kama hizo ?
Kwani wapi umewahi kuona Bacca, PSG au Madrid wanatembeza bakuli?
 
Msichukulie vitu serious sometimes anachangamsha genge tu!
 
Tajiri mudi dawa ndogo usilipe mishahara hao kunguni Awana adabu big boss watoto wako wanataka wakaitazame guest hiyo mechi? wakati timu Mali Yao
 
Simba boss mmempata unaweza sema mtoto wa Tandale kumbe kishua.
 
Hii tweter haiwezi kuwa ya MO haiwezekani mimi Yanga ila hili haliingii akilini
 
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?

View attachment 2713708
Aliposema ametoa bilioni 3 za usajili na akamalizia yale maneno yake, tunaojua tayari tulishajua.
 
Mmeambiwa muombe msamaha kwa kukashifu walemavu. Badala yake mnalilia ticket!

[emoji28][emoji28][emoji28]
Wale sio walemavu, kuendelea kuwaita walemavu ndio unazidi kuwafanya waonekane inferior
 
Katamka mwenyewe, sijamlisha maneno.

Hii ni dalili mbaya,. Mtu aliyejitolea zaidi ya billion 3 za usajili anawezaje KUNYIMWA TIKETI ?
 
hizo ni mbinu za kibiashara tu, mpaka wewe kupost habari zake.
kitaalamu Moo amefanikiwa kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…