MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

MO Dewji alalamika kunyimwa tiketi ya VVIP

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Wanasimba nawapenda sana, ila naomba kulalamika, nimeomba ticket ya VVIP kuajili ya mtoto wangu: kamati ya Salim Mk wa board na pamoja na Mk wa simba Mwangungu na CEO Imani wamekataa. :- Je hii ni haki? je hi ni zhulma?

Screenshot 2023-08-10 at 16.12.18.png
 
Huyu Mo tumemchoka, wakati wa Simba Day yeye alikuwa sehemu maalumu na rais wakati mwenyekiti walimtenga, hotuba alikimbilia kuisoma yeye, washabiki wengi wa Simba waliuziwa Tiketi ;lakini hawakuweza KUINGIA uwanjani hatukusikia kauli yoyote Kwa kifupi akae kimya.
 
Boss wetu tunampenda sana ila manung'uniko yamezidi, masimango ndio usiseme, kila siku ni kuandikiwa tweet za mipasho na masimango.

Safari ya matumaini sidhani kama tutafika na kama tutafika basi tutafika tumechoka mnooo!

E2AD0785-D508-4BE7-B8C1-DD14EB942BFC.jpeg

Hii ni muda mfupi uliopita leo kuelekea match ya ngao ya hisani mjini Tanga.
 
Back
Top Bottom