Hv ww ungekuwa na Raisi kama Putin ungemuita nani?
Eti shetani!!?? Yupi kweli wtz ni mayai mayai softi softi.
Nenda Kongo huko utakuta watu na nusu
Umenikumbusha mbali [emoji23]
Ushamba ulimzidi, hakujua ukubwa wa madaraka yake ndiyo maana akataka kujihusisha hata kwenye kutesa waliokamatwa na TISS. Yasemekana alihusika Moja kwa Moja kumlazimisha MoDewji aachilie Ardhi aliyokamata kule Lindi. Hata katika kumhoji Ben Saanane napo alihusika. Hatutaki washamba wa Kolomije tenaKwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Ushamba ulimzidi ndiyo maana alikufa mapema pamoja na kuiba kura zote za uchaguzi wa 2020. Mungu kamuonyesha kuwa yeye pekee ndiye hakimu wa kweli. Nchi iko salama bila MagufuliKwahiyo unaamuaje sasa? Unamtengaje rais na hiyo deep state?
Kwani wewe ras jeff kapita una nini ulichokipata kwa Magufuli? Mbona unataka kuwapangia watu namna ya kufikiri? Hicho kipindi cha kutaka wote tumuabudu kichaa wenu Magufuli kilikwisha March 2021. Sisi ni watu huruUmevurugwa ww usigombane na viongozi waliopita jenga uchumi wa familia yako upunguze stress
ibilisi fedhuli hasidi mwanahizaya mkubwa wewe, hukumjua yule Shetani MagufuliUna uhakika gani katika hili? Mimi siamini kama mtu mkubwa namna hii anaweza kutekwa na system kwa sababu hata yeye pia lazima tu ni sehemu ya hiyo sytem; system haiwezi kujiteka yenyewe.
Mimi kwa sasa hivi naamini kuwa waliofanya hivyo watakuwa ni mamluki wale ambao walikuwa wanafanya kazi kinyume na Serikali ya JPM
Kwa maan hiyo bas nchi yetu ipo exposed san kweny issue za kiusalama, kama tajiri mkubwa anatekwa kweupe still kama Taifa tujitafakarMo Dewji atekwe na system kwa lipi? Angeweza au anaweza kuifanya nini nchi hii? Maana mambo mengine tunayajadili bila ku reason. Namuona ni 'msoftiii' tu anayeweza kucheza na akili za wana simba na biashara zake. πππ
Kuna mtu huku Chadema alikutia mimba kisha kakutolea nje ndiyo hasira zote hizi.Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake
Mimi sishauriki, ukinishauri ndiyo umeharibu kabisaaaa.... Nadhani unalikumba hiliKwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Mkuu huyo hana akili na ndiyo maana siku hizi hakuna mtu yeyote anayemjibu, mpuuze tu kwani dish lale haliko sawaWewe acha watu wajidili mambo ya maana wewe umeolewa na siasa za ccm tu, mambo mengine usikilize watu intellectuals wana jadili huenda utajifunza mengi, kuna maisha nje ya chama chako.
Ben aliuawa kwa sababu ya kufatilia cheti fake cha JiweJPM kagoma kufa bado yupo sana mioyoni mwa wa-TZ na bado endelea kuteseka naye hadi siku utayokufa wewe ndipo naye atakufa [emoji1787].
Vyeti vyako feki, madawa ya kulevya hadi ufe kwa kansa, vidonda vya tumbo, presha na stroke vitakuua ukituachia PISI KALI wako tukimtafuna kiufundi haswa huku akipigwa makofi kukutukana matusi yooote [emoji28]
nilikuwa simpendi jiwe, moja ya sababu ya kutompenda ni visa vingi kutekana chini ya utawala wake.Bado wapo na bado wana nguvu kuwataja ni kujitafutia balaa jipya hasa kwenye biashara zake
Kwani alia pora au kaninua kihalali ? Wa kilaumu ni chama chake ki licho muuzia hiyo aridhi,nilikuwa simpendi jiwe, moja ya sababu ya kutompenda ni visa vingi kutekana chini ya utawala wake.
ila nilipokuja ambiwa sababu za msingi za kumteka MO na kwenda kumficha mkoa fulani kwenye safe house ya tiss, nikasema sawasawa tu. acha wamnyoshe.
juzi kati hapa nikiwa safarini kwenda arusha, nikatazama yale ma estate makubwa ya mkonge anayomiliki Mo na familia yake. nikasema dah hii nchi kuna watu wamejuwa kujimilikisha na kuifaidi.
Kwa hiyo wakati wa Marais wengine waliomtangulia na huyu wa sasa hakuna hiyo deepstate? Kwa nini utekaji ukakithiri kipindi chake tu?!!!Kwani jpm alikua sio sehemu ya deepstate au alifanya mambo yake nje ya deepstate, Raisi hawezi kufanya jambo bila kushauriwa na deepstate
Usalama wa raia Tanzania uko juu mno. Huko Marekani au kwengineko Ulaya siyo kutekwa tu mwendawazimu mmoja anaweza kupiga bunduki watu hata 50 na kuua. Ushasikia hapa? πππKwa maan hiyo bas nchi yetu ipo exposed san kweny issue za kiusalama, kama tajiri mkubwa anatekwa kweupe still kama Taifa tujitafakar
Kila Raisi anakua na mfumo wake wawadeshaji Jiwe alitumia mbinu ya ubabe kwa kutumia state apparatusKwa hiyo wakati wa Marais wengine waliomtangulia na huyu wa sasa hakuna hiyo deepstate? Kwa nini utekaji ukakithiri kipindi chake tu?!!!
Chadema walimteka Mo na kumpiga Lisu ili kumharibia Magufuli kimataifa lakini ndiyo kwanza akapaa kimataifa hadi umoja wa mataifa wakalilia kifo chake