Mo Dewji aweka wazi sababu za CEO Senzo kukimbia

Utakuta huyo Jamaa ni mchambuzi WA radio station Fulani hapa mjini
Yani hata wasiyoyajua wenyewe wanasema sema tu
 
Simba na Yanga zikiwa well organized ni timu zenye potential ya kuleta faida tena kubwa sana. Alichosema MO leo ambacho kitairusha Simba mbali sana ni uanzishwaji wa Academy ya maana.
Hapo Simba itatengeneza na kuuza vipaji. Simba ina uwezo wa kuwatengeneza kina Chama wengi tu na kuwauza kwa 500,000$ kirahisi. Faida ya kwanza kabisa kwenye mpira ni Players trading. unachukua kipaji ghafi na kukinoa, kukiexpose na kuuza. Yanga walimnunua Makambo kwa 15,000$ wakamuuza kwa 200,000$. kwa sababu uongozi haukuwa organized wakanunua strikers wa nje badala ya kununua kocha ambae angenoa strikers wa ndani watoto.
Thats just bad organization.
 
Ndio ujue kuwa watu wenye makampuni moo na GSM hawategemei biashara zao ziendeshwe na hizo timu.wanaweza wakajitoa kusaidia na biashara zao zikawa kama kawaida
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Vipi tena yakhe? Kwani bwin wasipokuwepo enzi hizo pale madrid wangefirisika?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ndio ujue kuwa watu wenye makampuni moo na GSM hawategemei biashara zao ziendeshwe na hizo timu.wanaweza wakajitoa kusaidia na biashara zao zikawa kama kawaida

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Wewe bwana asikudanganye mtu they need those teams kuteka soko zaidi...kama ingekuwa kweli anasaidia tuu sii angeenda saidia singida united....charity starts at home.
 
Na kaa ukijua kama kwenye hizo club kungekuwa na hela wasingekubali GSM na moo kupewa timu hizo.
Yanga wanasajiliwa wachezaji na GSM na wanalipwa mishahara na GSM. Kama yanga wangekuwa na hela si wangejiendesha wenyewe?.
Unadhani GSM na moo bila kuwa simba na yanga biashara zao hazitaenda?
Wewe bwana asikudanganye mtu they need those teams kuteka soko zaidi...kama ingekuwa kweli anasaidia tuu sii angeenda saidia singida united....charity starts at home.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ila kusema kweli nimemkubali Senzo Mazingisa kuwa ana Professionalism. Yaani Simba wanaongea wee, yeye yupo kimya tu amejikita kwenye masuala yake yajayo. Mo ameongea kiasi kwamba huwezi kumtofautisha yeye na Manara. Au ameambukizwa na Manara, maana nilikuwa namkubali sana Mo.
 
Ukisema hakuna wanachopata hapo nami sikubaliani na wewe Mkuu. Hela inayoingia kupitia promotion za brand za Simba na Yanga ni huge money ambayo beneficiaries (members) hawajawahi kujulishwa na hao wawekezaji wenu. Ndio maana Manji aliwahi kuomba kununua Logo ya Yanga tu kwa mahela kibao.
 
Kwanini wasijiendeshe wenyewe kama hizo brand Za simba na yanga Zina HELA?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Halafu akisema ametumia 4 billion anatoa mchanganuo ili members wajue?
 
Kwanini wasijiendeshe wenyewe kama hizo brand Za simba na yanga Zina HELA?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hapo ndio tunatakiwa tuanzie sasa. Maana wenzetu (Mo, Manji na GSM) wanajua hizo brand zina faida, sisi tunashindwaje? Hizi ndio sawa na hadithi ya Mzungu aliyewaona Wasukuma wanatumia Almasi kama kete za kuchezea bao then yeye akawaletea gololi akasepa na almasi. Wasukuma wakaona wamefaidi sana, kumbe siyo.
 
Yanga hawana kiwanda hata cha kutengeneza batiki hata simba ni hivyo hivyo.
Brand BILA BIDHAA NI SAWA NA BURE.
Wewe una Jina tu ila mwenzako ana viwanda na biashara zake.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama sio mwekezaji, na zile 49% Club Shares zinahusu nini?! Naona unaleta tena habari za GSM; Mo ana 49% pale Simba, hao GSM wana asilimia ngapi pale Yanga?!
Acha ujinga wewe , asilimia 51 ya Simba ni Nini ?
 
Mtu wa finance na department zingine za kitaaluma ziko chini ya CEO , lolote linaloshindwa kufanyika kwenye hizo department CEO ndio Yuko responsible kujibu Mbele ya management.

CEO anareport kwa menejiment.
 
Wanahisa wengine kina nani? Yeye kauziwa 49% kwa 20B, HAKUNA MWINGINE ALIYEUZIWA CHOCHOTE.
Simba Wana hisa asilimia 51, na Nyie wekeni mezani mzigo wemu.


Sio mnataka mwenye Hisa 49% aweke pesa peke yake.


We ulisikia wapi
 
Mtu wa finance na department zingine za kitaaluma ziko chini ya CEO , lolote linaloshindwa kufanyika kwenye hizo department CEO ndio Yuko responsible kujibu Mbele ya management.

CEO anareport kwa menejiment.
mkuu nilipogundua najadili na watu vilaza ikabidi nikae kimya,hivi unajadili nini na mtu anayesema CEO hausiki na kupunguza matumizi na kuongeza mapato
 
uko sawa. hata wale viongozi waliotaka GSM walete hela ili menejiment ya Yanga ifanye kazi waliishia pabaya.
 
mkuu nilipogundua najadili na watu vilaza ikabidi nikae kimya,hivi unajadili nini na mtu anayesema CEO hausiki na kupunguza matumizi na kuongeza mapato
Mkuu hao ndio watanzania kila Kitu wanajua wao.

Mtu ni ukocha anaujua , uwekezaji wa MO anajua, Mambo ya masoko anayajua , urefa anaujua n.k.


Hawa ndio siku MO akitoka na timu ikaanza kupata njaa hata 1000 huwa wanashindwa kuipa timu.

Katika kipindi ambacho Simba inabidi iwe makini na wazandiki na wachawi ni kipindi hiki Cha MO. Kuna wachawi hawapendi kabisa kuiona Simba ikiwa chini ya MO. Wataleta majungu ili MO aondoke na timu ianze kupitia njaa tena.


Kusema kweli kwa MATUMIZI ya Simba na wanachokipa Financial Statement zake lazima ziwe na hasara. Simba Kama timu kuanza kupata faida Yake binafsi itachukua muda Kama mipango yote ya Sasa hivi ikienda vizuri. Naamini Simba ikiwa bidhaa Bora hata sponsors wake watakuwa wa maana wa kutoa mzigo/dau la mkubwa.


Kipindi Manji Yuko yanga Kuna watu kule walikuwa wanasema haya wanayosema kwa MO. Ila baada ya manji kuondoka timu ilishindwa mpaka kulipa watu mishahara ya laki 5. Ilifikia kipindi yanga mechi baadhi za mikoani inasafiri na wachezaji pungufu ili kupunguza gharama.

Please simba tujifunze hili kutoka kwa yanga. Hawa waropokaji wa timu ya simba ni kuwapuuza na hawana Nia nzuri na Simba. Kipindi Simba inapitia ukata kabla ya MO hatukuwahi kuwaona wanapeleka hata Shilingi 100 kuchangia timu.
 
Kuna vitu watu hawaelewi wengi hawana elimu ya uwekezaji bahati mbaya mfumo wa vilabu vyetu umeruhusu wajanja kuwa na sauti.
Kabla ya Simba kuingia kwenye mfumo wa hisa ilitakiwa ije kampuni ya uhasibu itathimini thamani yake. Thamani ya timu sio majengo tu bali ni pamoja na fanbase.
Kitu ambacho Simba hawajui mo anaitaka simba kuliko simba inavyomtaka mo rejea alipotishia kujitoa na kudai anatumia pesa nyingi hakuna mwanasimba aliyembembeleza badala yake Raga na Kigwangala walimhoji aseme hizo pesa zinatoka mfukoni mwake au ni sehemu ya uwekezaji.
Alianza kuikopesha simba pesa kabla uwekezaji haujaanza lakini simba ilipoingia mkataba na sportpesa alikuja juu.
Kama simba ingetulia hizo hisa zingeuzwa kwa bei kubwa simba mpaka sasa hivi haijitegemei kitu ambacho ni hatari kwa mustakabali wake hata mipango yake ni vichekesho huwezi kumtoza shabiki pesa ila unaweza kumuuzia shabiki bidhaa za timu. Hata mapato ya jezi hayaeleweki pamoja na kwamba kuna mkataba jezi zinatakiwa ziuzwe maduka maalumu lakini ukienda taifa jezi zinasambazwa chini au hata klabuni unaona zimetundikwa jezi feki.
Lakini yote yanafanyika sababu ya kukosa uongozi makini.
 

Point hapa sio kwamba biashara hazitaenda bali kuwa zinawasaidi kuongeza volume ya uuzaji wa bidhaa zao.

A football team ni tool moja kubwa katika kujitangaza. Wee ona competitor wake mo energy ni azam energy but kila simba inapoingia uwanjani azam huyo huyo ana mtangaza mpizani wake...sasa huoni kuwa hiyo tayari ni advantage?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…