ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Yaani MO awe mjinga!! Halafu wewe mmatumbi ambae hata kipato chako hakiwezi kumaliza mwezi ndio uwe na akili? Maskini hawezi kumuelewa tajiri hata siku moja!! Wewe kazi yako ni kushangilia na kubishana kwenye vijiwe vya gahawa,huwezi kumuelewa tajiri! Akili yako inawaza utapataje mnafu na dona ili uishi.Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Kwaio uyo mwingine nae akija nae amwage pesa tu bila mfumo maalumu!! Watanzania mna akili za kitumwa mno! Mtu analalamika mchakato ukamilike Ili timu iweze kujiendesha kwa faida bila kutegemea mapato ya mtu mmoja ila watanzania kwa akili zenu za kitumwa hamuwezi kuelewa!!Huyu jamaa asiwatishe hivyo.
Pale Yanga alikuwepo Yusuf Manj, yeye alikuwa kila kitu kuhusu timu.
Aliondoka kaja Gharib na timu inafanya vizuri zaidi.
Mo akiondoka Simba itakuwepo na anaweza kuja mwingine timu ikifanya vizuri zaidi.
Ana mapenzi na Simba uwezo wa kuifanyia makubwa upo shida siasa.Kama hapati faida si aache
Hi no taarifa mbaya sna kwa Wana lunyasiWanasimba wana kazi mbili, kushabikia timu na kumbembeleza tajiri wao asikate tamaa
Hz zile story zako umefikia wapi mkuu muda sijakuona kwenye story 2 ,3Tajiri analalamika kila msimu. Inabidi tu umlambe nyayo, utafanyaje sasa?
πππππWanasimba wana kazi mbili, kushabikia timu na kumbembeleza tajiri wao asikate tamaa
Pole sna ndugu hi Ni taarifa mbaya sna kwakoHuyo nae anatupa jaka moyo...kheee
Hawa wafanyabishara hawana msaada wowote kwenye hizi timu zaidi kuzifanya kama ngazi yao ya kunyooshea mambo yao. Hizi timu zikitaka maenedleo ya kweli zijitoe kwenye utumwa wa hawa jamaa.Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"
Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi alijiuzulu nafasi hiyo mnamo Septemba 21, 2021.
Wakati akitoa taarifa yake ya kujiuzulu alisema "Nimeachia nafasi hiyo lakini nitaendelea kuwa Simba mpaka siku ya mwisho, sijajiondoa kwenye Simba bado ni mwekezaji mimi kwa sasa mara nyingi sipo nchini Tanzania nakuwa nje"
Eehh mbona kama unaruka stage..alipoondoka Manji ikawaje kawaje???...Huyu jamaa asiwatishe hivyo.
Pale Yanga alikuwepo Yusuf Manj, yeye alikuwa kila kitu kuhusu timu.
Aliondoka kaja Gharib na timu inafanya vizuri zaidi.
Mo akiondoka Simba itakuwepo na anaweza kuja mwingine timu ikifanya vizuri zaidi.
kawaida tuu jiraniPole sna ndugu hi Ni taarifa mbaya sna kwako