Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

Mbona jamaa tulikuwa tunamheshimu???
Harafu huwa anaharibu muda mbaya sanaa??
 
Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Kuna siku mtaachwa pabaya, shtukeni, tajiri analia kila siku
 
Huenda maana timu ikifanya vizuri anajiweka karibu ila hela zinazohitajika anaanza sababu zisizo na msingi
Simba haina mfadhili bali mnyonyaji.

Sijawahi kuona Yanga ikisimangwa hata siku moja
 
Je si kweli kwamba yeye ndio anateuwa bodi ya wakurugenzi wanaomuwakilisha yeye kama muwekezaji? hata CEO yeye ndio anateuwa sio wale wa 51% maana wale wanafuata upepo tu. Mimi bado sijamuelewa kweli miaka 6 anasema mchakato bado lakini anawekeza, sasa anawekeza kama nani? share au mfadhili tu
Labda Hana business plan, japo changamoto ya mpira ni kwamba mtaji wa biashara hiyo ni ujuzi na nguvu za wachezaji wanao gombaniwa na timu zingine msimu ukiisha na majeruhi ya wachezaji kama wachezaji wasingelikuwa wanashuka viwango pia, kutokuwa majeruhi, kuendelea kuwepo kwenye misimu mingi kwa hitaji la timu husika tu! biashara ya mpira ingelikuwa ni nzuri sana
 
Iwe tu kaongea kwa mzaha au kwa makusudi fulani ku catch attention ila kama yupo serious atakuwa MJINGA na MLOPOKAJI.
Miaka 6 ni mingi sana, kitu gani kinakwamisha huo mchakato kama sio urasimu wa kijinga kwenye taasisi za serikali?

Ni kukomoana tu, sioni kama hilo ni kosa la Mo hasa kama wao kwa upande wao wameshakamilisha kila kitu wanachotakiwa kufanya.
 
Wanaomkatisha Tamaa ni wanasimba wenyewe hususani Wale wanaojiita wazee wa Simba .

Wale wazee wana mambo za kishamba [emoji3061]
Wee waache wazee wetu bhana.Mo anadeka sana utadhani demu.Yeye kama anaona Simba tunamchosha,si atuache tu?,hivi yeye anadhani bila yeye Simba haitaenda?,Hilo asahau maana Simba ni kubwa kuliko yeye,ilikuwepo kabla yake.Asituzingue.
 
Kabisa. Ila tukiwa tunapitisha bakuli uchange pesa iwapo mbadala utachelewa.
 
Mwisho wa siku ana Hoja, Ukitoka Mengine yote, Why Miaka 6 mchakato haukamiliki, Anaweza Mo kuwa na Matatizo Yake Lakini Kwanini Miaka 6 mchakato haukamiliki? Hata muwekezaji Mwingine akija Nani Atavumilia Miaka 6

Simba Tuangalie wapi tunakosea
kinachofanyika ni kula raha tu ndiyo maana kuna watu wakati wa uchaguzi wanakonda sana na wa kipata wanatengeneza shavu yaani kama hivi safari ya uturuki wamekata jina la baleke ili tu mlaji mmoja aende.
 
Team inasafiri kwenda pre season. Jamaa kaletewa invoice ya mana akili ikamkaa sawa hii yote ni ubahili wakutoa hela alitegemea kutoa ktk mfuko mwingine lkn akakuta amechanganya mapato ya simba nabiashara zake wkt anapata hela ndefu tu through that
Hio ndo sababu ya msingi na kukataa ni ngumu sababu tayari ameshawaaminisha mashabik na wanachama kwamba safari ipo
 
Mwisho wa siku ana Hoja, Ukitoka Mengine yote, Why Miaka 6 mchakato haukamiliki, Anaweza Mo kuwa na Matatizo Yake Lakini Kwanini Miaka 6 mchakato haukamiliki? Hata muwekezaji Mwingine akija Nani Atavumilia Miaka 6

Simba Tuangalie wapi tunakosea
Mchakato umekwama wapi na anae kwamisha ni nani?
 
Back
Top Bottom