Mo Dewji, msimu ujao tenga milioni 500 za ubingwa, baada ya hapo Yanga na GSM hawatakusumbua tena

Ndugu wanahabari, tunapinga na kusikitishwa na hii taarifa. Tunailaani pia.
 
Hapo kwenye bold, ushindaji kwako ni kushinda magoli machache? HAYA, MLIBANDULIWA BAO TANO, GSM ALIHUSIKA???

1. Hapa GSM alihusika?


2. Hapa Je, GSM alihusika?


3. Hapa vipi, uhusika wa GSM upo?



4. Hapa vipi, GSM alikuwepo kwenu?



5. Hapa vipi uhusika wa GSM?



6. Hapa vipi uhusika wa GSM?

 
Alikua sahihi maana kuna uchangiaji umeandikwa huku ni aibu kuusoma.

Mbaya zaidi ukimuelimisha mtu anaona unamchukia.
Hahahaha na wengi,wako hivyo unamueimisha anakuona wewe unamchukia kumbe anapuyanga
 
Anakuwaje mjinga kwa kufanya kila linalowezekana kuhakikisha klabu ambayo amewekeza inafanikiwa?
Ungeeleza faida ambayo ataipata kwa kukufurahisha wewe. Faida kubwa mpaka sasa hivi ni kuwanunua wachezaji, kuwapa platform ya kucheza mbele ya mashabiki wengi uwanjani na mitandaoni (Kujenga brand) na kuwauza kwa bei nzuri kama alivyomuuza Pape Sakho et al.
Kuifunga Yanga hata wakati ipo unga alishindwa. Asijaribu kuwa Try again au Bamchawi.
 
Sioni hoja hapa. Yaani hakuna kabisa. Logic haipo na reasoning siioni. Simba inazifunga timu kubwa huko CAF goli 7 tena katika mechi ngumu za kimaamuzi hatua ya makundi, ndiyo utashangaa kumfunga sijui Alliance, kuna hoja au cha kushangaza hapo?

Niambie ukiacha miaka hii miwili iliyopita, ni mwaka gani ambao Yanga, bingwa wa kihistoria imezifunga timu nyingi goli 4, 5, 6 katika ligi kama miaka hii miwili ya udhamini wa timu nane za GSM. Hapo hapo unafurushwa huko CAF mapema sana tena na timu za kawaida saana.
 
Eti timu Bora kwa takwimu,,mbona umekimbilia timu iliyofungwa magoli machache wakati mmeruhusu 8 yanga karuhusu 9 kwaiyo iyo tofauti ya goli Moja ndio ubora?
Mmefunga magoli mangapi na yanga kafunga mangapi?
Yanga kuishia makundi klabu bingwa na wewe kuendelea kuwepo kule kwenye wamama cup sio kigezo cha ubora wa Simba kaangalie uzito wa michuano husika ambayo Kila timu ilikuwa inashiriki ndio uongee,, yanga uko alifika fainali na Wala awaringi!
Tengenezeni timu msijifariji ubora wa Simba uwezi kulinganisha na ubora wa yanga ata ukimuuliza kichaa atakwambia acha kukaza fuvu!
 
Hahahaha na wengi,wako hivyo unamueimisha anakuona wewe unamchukia kumbe anapuyanga
Jukwaa la michezo si la kuja na phd kuhoji mada zinazoanzishwa. Hilo jina tu jukwaa la michezo lilipaswa kukufanya uelewe hilo. Humu kuna utani wa jadi na utani wa jadi umejaa mizaha na mambo yasiyo rasmi hata kama yanawasilishwa kama vile yapo rasmi.
 
Unavyoshangaa wewe na sisi tunakushangaa, YANGA KUMFUNGA VITALO GOLI SITA HALAFU ASHINDWE KUMFUNGA KMC AU 51MBA GOLI TANO..!!! We wa kupimwa
 
Elewa mada. Hakuna anayeongelea kuifunga Yanga. Hapa tunaongelea mbio za ubingwa. Unataka nikufundishe faida za kutangaza biashara zako kwa timu iliyoshinda ubingwa?
 
Unavyoshangaa wewe na sisi tunakushangaa, YANGA KUMFUNGA VITALO GOLI SITA HALAFU ASHINDWE KUMFUNGA KMC AU 51MBA GOLI TANO..!!! We wa kupimwa
Vital'O hata mngemfunga goli 14 takwimu za wafungaji zisingeingia kwenye rekodi za CAF. Hilo linakuambia nini?

Unazifunga timu njaa goli 6 hatua za awali halafu ukiingia makundi unategemea kikokotoo kikuvushe, na bado unashindwa kupata goli moja tu la kukuvusha tena ukiwa nyumbani. Aibu naona mimi.
 
Ukiona adui yako anakulalamikia ujue upo sahihi, ukiona anakusifia ujue kuna sehem unafeli! GSM endeleeni kakaza hapohapo hivi vilio ni ishara njema kwetu sisi wadau🤣🤣
 
Dah , nimekuelewa Mkuu, Ahsante sana Kwa hilli,umeiweka vzr
 
Reactions: Tsh
Elewa mada. Hakuna anayeongelea kuifunga Yanga. Hapa tunaongelea mbio za ubingwa. Unataka nikufundishe faida za kutangaza biashara zako kwa timu iliyoshinda ubingwa?
Si rahisi bila kuifunga Yanga hata kama una hela. Kuna serikali pia hasa serikali za manispaa na ngazi za mikoa. Nyingi ni timu zilizoanzishwa na kulelewa na wanayanga.
 
Na Simba ni miongoni mwa timu njaa iliyochezea kichapo mara 4 mtawalia na bado unakuja unabana pua kwamba Simba ni Bora kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…