Mo kajisogeza simba tena baada ya kuona pesa zinakuja

Huyu jamaa ni tapeli Sana baada ya kuona pesa zinakakuja anajua kabisa simba ikienda robo fainali atapiga Ile pesa kwa 49%
Yaani hadi utopolo wanajua Simba itaenda robo fainali! 😆😆😆
 
Mada za kuokoteza okoteza tu, lini Mo aliona pesa haiendi Simba akaamua kukaa pembeni?

Kama ni kufuzu klabu bingwa, Simba ilifanya hivyo long time ago..
 
Reactions: Tui
Hiyo milioni 500 itakuwa ni ile ya Zimbabwe, enzi za Marehemu Robert Mugabe bila shaka.

Na kama ni hii ya kwetu, basi ni bora ingetumika tu kufanyia usajili wa maana, wakati huu wa dirisha dogo.
Kwani trip kama hiyo inagharimu kiasi gani?
Come with numbers .... La haha ni maneno tu kama mengine.
 
Pesa iliyotumika ni sehemu ya pesa tuliyopewa na CAF kwa kuingia makundi, sasa tunapesa.
Bila pesa za Mo za mfukoni, ile club haiwezi kujiendesha kwa hadhi ya sasa hivi.
It's still a loss making investment .. big time loss.
 
Tunakushukuru kwa kuliona hilo kwamba simba ni timu kubwa kiasi kwamba kwenda robo fainali ni jambo la kawaida huku utopolo kwenye kombe lake la looser hajui hatima yake.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini usiifadhili Simba ili Dewji apumzike na uzushi wako?
 
Reactions: Tui
Waliyoachiwa kuendesha timu imewashinda wakaona ni busara kurudisha timu to the rightful owner.
 

Simba ikibaki hivi bila maingizo ya maana,haifiki fainali,simba haina wachezaji wa maana msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…