Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Usemaji wa serikali hauhitaji mropokajiHii post ingemfaa Jerry Murro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usemaji wa serikali hauhitaji mropokajiHii post ingemfaa Jerry Murro
Hahaaa hata mi nimemshangaa eti mobare hajawahi kutajwa popoteKama si msomaji wa makala huwezi kumjua!
Usijifananishe na Rais wetu... Mama wa watu hana muda wa kipuuzi kama wako.Toka lini hata leo ikawa ya pili?
Unaota?
Alionewa kivipi??JPM alimuonea sana huyu Bwana Matinyi. Acha nyota yake ichanue sasa
Alifanya nini?Magufuli alikuwa anamuua isingekuwa Kichere kuingilia kati jamaa alichukuliwa miez mitatu na usalama
Vipi kuhusu Bashite??Hawez kiteuliwa mtu hata elimu yake haieleweki,serikali kati ya vyote inazingatia zaidi sifa za kitaaluma!!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo watu wa kitengo tu ndio wanaoweza kufanya kazi za ngazi za juu za serikali katika nchi hii??mnadandia vitu msivyovijua , bwana matinyi ni mwandishi wa habari nguli tena mhariri mbobevu kabisa na kikubwa zaidi ni mtu wa mfumo, unadhani nchi inaendeshwa kwa social media? jamaa ni Senior sana katika kitengo , jiulize alipotoka mtanzania kama mhariri ilikuaje akaangukia ubalozi wa Tanzania Marekani? mtu tu wakuokota anapelekwa ubalozi kama muambata? Usemaji wa serikali sio kama zile press release za Zuhra Yunus lazima ujue nchi na nini kinaendelea na unaongea nini sio u MC wa Ikulu ule ile ni kazi very sensitive. sema tu kwakuwa nchi hii Jiwe alishaiharibu aliaminisha watu kila mtu anaweza kuingia serikalini kihuni tu na kufanya kazi yoyote.
Watanzania tuna tatizo moja kubwa sana. Ujinga.Usijifananishe na Rais wetu... Mama wa watu hana muda wa kipuuzi kama wako.
Wale ni watu special! Choosen from god! Muda wao huwa ni wa mambo ya msingi sio kujizolea umaarufu wa kijinga mitandaoni kwa kujitia mjuaji kama wewe!
UKOME!
NskaziaUsijifananishe na Rais wetu... Mama wa watu hana muda wa kipuuzi kama wako.
Wale ni watu special! Choosen from god! Muda wao huwa ni wa mambo ya msingi sio kujizolea umaarufu wa kijinga mitandaoni kwa kujitia mjuaji kama wewe!
UKOME!
Binafsi namfahamu yeye na kakaake kama marafiki na watu waliyesoma pamoja na Rais Mstaafu wa Congo DR Joseph Kabila.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Julai 2, 2023, Rais Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam. Miezi mitatu baadaye amemteua Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Matinyi mbali na kuwahi kuwa Mkufunzi katika Kituo cha Diplomasia cha Msumbiji-Tanzania amekuwa Mwanahabari na Mchambuzi wa Maswala mbalimbali mengi yakilenga kuitetea Tanzania. Pia amewahi kuwa na ukurasa – column katika Gazeti la Kingereza la ‘The Citizen’ – The Eagle’s Eye na ameandika Makala mbalimbali kupitia Gazeti la Jamhuri.
Wengi wanamkumbuka Matinyi kwa uchambuzi wake tunduizi wa mabendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya wakati huo akiwa kama Mshauri Mwelekezi nchini Marekani.
Hata hivyo, kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya, Mwanahabari huyu kitaaluma, alikuwa akitumika kwenye jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika maarufu kama SADC. Kwa sasa Matinyi anaenda kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
MAJUKUMU YA KAZI
Lecturer
Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations
Oct 2013 - Present · 10 yrs 1 mo
Analyst, Columnist
VoA, BBC, RFI, The Citizen, Majira
May 2003 - Sep 2013 · 10 yrs 5 mos
International affairs, Tanzanian and American issues, etc.
Instructor
United States Foreign Service
Feb 2008 - May 2013 · 5 yrs 4 mos
Washington DC
Consultant
Foreign service and educational institutions
Oct 2003 - May 2013 · 9 yrs 8 mos
Marketing executive, bank manager
Corporate America (various)
Oct 2003 - Jan 2008 · 4 yrs 4 mos
Washington D.C. Metro Area
Chief Editor
Business Times Limited
Jun 1998 - May 2003 · 5 yrs
Dar es Salaam, Tanzania
Editor June 1998 - Jan 2000
Instructor
Tanzania School of Journalism
Jan 2002 - May 2002 · 5 mos
Dar es Salaam
Journalist
Business Times Limited
Nov 1993 - Oct 1995 · 2 yrs
Dar es Salaam, Tanzania
ELIMU
American
Master of Arts (M.A.)
2010 - 20122010 - 2012
American
Master of Arts (MA)
2008 – 2010
Johns Hopkins
Master of Arts (M.A.)
2006 - 2008
Osmania
Bachelor of Arts (B.A.)
1995 – 1998
Azania O-Level
Tambaza A-Level
Chanzo: Ukurasa wa Linkedin wa Mobhare Matinyi
MJINGA NAMBA NI WEWE! TENA WEWE NI MJINGA ULIYEKUBUHU! UKIENDELEA KUNILETEA MIMI MASHAUZI YAKO NAWEKWA KIZUIZINI (BANNED) SOON!
SINAGA MUDA WA KUWAREMBEA VINEGA WA AINA YAKO!
UKOME KUJIFANYA RAIS WETU!
Unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe.Ngoja nikuwashe block! Mimi naonaga unanikera tu!
NAKUSHAURI TUMIA MUDA KWENYE VITU PRODUCTIVE! UACHE KUMUHARIBIA RAIS SIFA... YULE HANA MUDA MCHAFU WA KUSHINDA HUMU KAMA WEWE
Hivi ni kipi kilichokufanya umuingize mama Samia? Kama si ujinga wako tu?Nijitekenye mwenyewe na kucheka mwenyewe kwa ajili ya kipi kukuhusu we MPUMBAVU?!
Mtu anajifanyaje kuwa rais?UNAJIFANYA WEWE NI RAIS WA TANZANIA KUMBE NI MPUMBAVU MMOJA TU UPO KWENU KEKO MAGURUMBASI HUKO UNAJITIA UNA SYNDICATE ZA NCHI
JIANGALIE SANA WE KALAGABAHO!
Umeanza kuelewa kuandika, kweli asiyefunzwa na mama'ke hufunzwa na ulimwengu.Akili ya bangi na pombe. Ndio mimi punguwani
Ila watu wanajua kati yetu nani punguwani pro! 😀👍🏾
Ni ndugu ila sio wa karibu sana…Dr Rioba na Matinya ni ndugu ??
Kichere ni shemeji yake, kamuoa dadake Matinyi.Magufuli alikuwa anamuua isingekuwa Kichere kuingilia kati jamaa alichukuliwa miez mitatu na usalama
Alikosea nini huyu jamaa?Magufuli alikuwa anamuua isingekuwa Kichere kuingilia kati jamaa alichukuliwa miez mitatu na usalama