Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Julai 2, 2023, Rais Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam. Miezi mitatu baadaye amemteua Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Matinyi mbali na kuwahi kuwa Mkufunzi katika Kituo cha Diplomasia cha Msumbiji-Tanzania amekuwa Mwanahabari na Mchambuzi wa Maswala mbalimbali mengi yakilenga kuitetea Tanzania. Pia amewahi kuwa na ukurasa – column katika Gazeti la Kingereza la ‘The Citizen’ – The Eagle’s Eye na ameandika Makala mbalimbali kupitia Gazeti la Jamhuri.

Wengi wanamkumbuka Matinyi kwa uchambuzi wake tunduizi wa mabendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya wakati huo akiwa kama Mshauri Mwelekezi nchini Marekani.

Hata hivyo, kabla ya kuwa Mkuu wa Wilaya, Mwanahabari huyu kitaaluma, alikuwa akitumika kwenye jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika maarufu kama SADC. Kwa sasa Matinyi anaenda kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

MAJUKUMU YA KAZI
Lecturer
Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations
Oct 2013 - Present · 10 yrs 1 mo

Analyst, Columnist
VoA, BBC, RFI, The Citizen, Majira
May 2003 - Sep 2013 · 10 yrs 5 mos
International affairs, Tanzanian and American issues, etc.

Instructor
United States Foreign Service
Feb 2008 - May 2013 · 5 yrs 4 mos
Washington DC

Consultant
Foreign service and educational institutions
Oct 2003 - May 2013 · 9 yrs 8 mos

Marketing executive, bank manager
Corporate America (various)
Oct 2003 - Jan 2008 · 4 yrs 4 mos
Washington D.C. Metro Area

Chief Editor
Business Times Limited
Jun 1998 - May 2003 · 5 yrs
Dar es Salaam, Tanzania
Editor June 1998 - Jan 2000

Instructor
Tanzania School of Journalism
Jan 2002 - May 2002 · 5 mos
Dar es Salaam

Journalist
Business Times Limited
Nov 1993 - Oct 1995 · 2 yrs
Dar es Salaam, Tanzania

ELIMU
American
Master of Arts (M.A.)
2010 - 20122010 - 2012

American
Master of Arts (MA)
2008 – 2010

Johns Hopkins
Master of Arts (M.A.)
2006 - 2008

Osmania
Bachelor of Arts (B.A.)
1995 – 1998

Azania O-Level
Tambaza A-Level
Masters of arts zote hzo kapiga vyiuo tofauti
 
Kwakweli maaana tangu kaja bongo namuona kma kawa mshamba sana kma hajaishi ulaya anaongea sana na kma kawa Comedian vile
Haina shida ku-have fun na kuishi maisha yako ila tu usiweke mitandaoni contents ambazo zitahatarisha brand yako... kuna kesho pia na fursa ziko popote muda wote. Huenda ikakuharibia!
 
Sio kweli... hizo ni hisia zenu tu. Hakuna mtu alimuahidi usemaji wa serikali bana! Nani kakwambieni hilo mbona mmekazana sana!

Mwacheni aishi maisha yake! Kaishi na wazungu miaka chungu tela na ndo maisha yao yale. Wala haina tatizo
huyo wa BBCkajiharibia mwenyewe kwa Blaa Blaa zake amejitambulisha kama mtu mwenye mashara na utoto mwingi. Huwezi kumuweka msemaji wa serikali kwa Aina ya maisha anayojipambanua bwana yule!!
 
Tetesi: Pascal Mayalla jina lake lilijadiliwa kidogo sana, halikufika hata juu ya meza ya katibu, walilibwaga mapema sana kwa kuwa duru za intelijensia walimuona ana kauli chafu chafu za kibaguzi na uelewa wake wa kupambanua na kuchanganua mambo ulikuwa mdogo sana. Yaani ni bwege bwege fulani hivi anaejiona anajuwa kuliko handlers wake. "Witless arrogant".

kikeke alionekana bado ana utoto mwingi na hayupo serious, pia hayupo vizuri na baadhi ya vyombo vya habari.

Hao wawili wajirekebishe, bado zipo nafasi nyingi za kuwekwa. Nawashauri wazisome na wazielewe kwa kina R nne za mama Samia.
Wakijirekebisha wana fursa kubwa sana ya kupelekwa mambo ya nje kama maafisa wa habari nje ya Tanzania. Waelewe kwa undani dhanna ya diplomasia ya uchumi.

Kama kuna short course za chuo cha diplomasia, wawahi kuzichukuwa.

Msinisemeshe mengi.

Reconcile Resilience Reform Rebuilding.
Hapo ndo unazidi kuwachanganya wajinga..., vile unajifanyaga we ndo Madame President 🤣🤣🤣

We TOKA ZAKO KULE!!!!
 
Tetesi: Pascal Mayalla jina lake lilijadiliwa kidogo sana, halikufika hata juu ya meza ya katibu, walilibwaga mapema sana kwa kuwa duru za intelijensia walimuona ana kauli chafu chafu za kibaguzi na uelewa wake wa kupambanua na kuchanganua mambo ulikuwa mdogo sana. Yaani ni bwege bwege fulani hivi anaejiona anajuwa kuliko handlers wake. "Witless arrogant".

kikeke alionekana bado ana utoto mwingi na hayupo serious, pia hayupo vizuri na baadhi ya vyombo vya habari.

Hao wawili wajirekebishe, bado zipo nafasi nyingi za kuwekwa. Nawashauri wazisome na wazielewe kwa kina R nne za mama Samia.
Wakijirekebisha wana fursa kubwa sana ya kupelekwa mambo ya nje kama maafisa wa habari nje ya Tanzania. Waelewe kwa undani dhanna ya diplomasia ya uchumi.

Kama kuna short course za chuo cha diplomasia, wawahi kuzichukuwa.

Msinisemeshe mengi.

Reconcile Resilience Reform Rebuilding.
Dah,mtamuua Mzee Pascal![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nawaza tu endapo nchi hii itachukuliwa na chadema au upinzani ,je itachukua miaka mingapi kukijenga chama hicho kiuchumi kwa pesa ya walipa kodi wa Tanzania ndio maendeleo ya nchi yaje badae?nikiyakumbuka haya naamua kusimama na mama 2025
Kuna nchi jeshi linaamua kuchukua madaraka... na hawana hitaji la kujenga chama chochote kiuchumi!
Ila umefanya vizuri kuliweka bayana... kumbe ccm inajijenga kwa Kodi za waTanzania.
 
mnadandia vitu msivyovijua , bwana matinyi ni mwandishi wa habari nguli tena mhariri mbobevu kabisa na kikubwa zaidi ni mtu wa mfumo, unadhani nchi inaendeshwa kwa social media? jamaa ni Senior sana katika kitengo , jiulize alipotoka mtanzania kama mhariri ilikuaje akaangukia ubalozi wa Tanzania Marekani? mtu tu wakuokota anapelekwa ubalozi kama muambata? Usemaji wa serikali sio kama zile press release za Zuhra Yunus lazima ujue nchi na nini kinaendelea na unaongea nini sio u MC wa Ikulu ule ile ni kazi very sensitive. sema tu kwakuwa nchi hii Jiwe alishaiharibu aliaminisha watu kila mtu anaweza kuingia serikalini kihuni tu na kufanya kazi yoyote.
Mkuu jiwe kaiaribu nchi kivip mbona miaka mingi mingi nchi ni hovyo tu ? Tokea nipo mdogo mpaka sasa nchi bado masikini tu Serikali bado inaomba omba pesa za kujikimu kutoka Ulaya.
 
Back
Top Bottom