Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

Bila ya aibu yoyote, unasema upo tayari kuyaweka maendeleo ya Tanzania ndani ya 'freezer' kwa miaka mingine mitano?

Jameni, kwa nini msiionee hii nchi huruma?
Nawaza tu endapo nchi hii itachukuliwa na chadema au upinzani ,je itachukua miaka mingapi kukijenga chama hicho kiuchumi kwa pesa ya walipa kodi wa Tanzania ndio maendeleo ya nchi yaje badae?nikiyakumbuka haya naamua kusimama na mama 2025
 
Tetesi: pascal Mayala jina lake lilijadiliwa kidogo sana, halikufika hata juu ya meza ya katibu, walilibwaga mapema sana kwa kuwa duru za intelijensia walimuona ana kauli chafu chafu za kibaguzi na uelewa wake wa kupambanua na kuchanganua mambo ulikuwa mdogo sana. Yaani ni bwege bwege fulani hivi anaejiona anajuwa kuliko handlers wake.

kikeke alionekana bado ana utoto mwingi na hayupo serious, pia hayupo vizuri na baadhi ya vyombo vya habari.

Hao wawili wajirekebishe, bado zipo nafasi nyingi za kuwekwa. Nawashauri wazisome na wazielewe kwa kina R nne za mama Samia.
Wakijirekebisha wana fursa kubwa sana ya kupelekwa mambo ya nje kama maafisa wa habari nje ya Tanzania. Waelewe kwa undani dhanna ya diplomasia ya uchumi.

Kama kuna short course za chuo cha diplomasia, wawahi kuzichukuwa.

Msinisemeshe mengi.

Reconcile Resilience Reform Rebuilding.
Vipi kuhusu ayubu
 
Mbona mnakariri sana?! Na serikali waliacha hiyo nafasi wazi kwa makusudi wakijua wananchi wajinga watashupaza shingo kumbetia huyo muhuni wa london na sinza. Kumbe hamjui ndo mlikuwa mnamuharibia

Ni makosa kutabiri nyadhifa za serikalini na hata kama unajua kaa kimya! Serikali hawapendi target zao ziende sawa na mtabiri. Hata kama ilikuwa sawa watafanya mabadiliko tu! Huyo Kikeke apewe tu mkataba TBC au AZAM aanze kazi aache uzwazwa atakuja kufulia achekwe. Maana wabongo hawachelewi
Kwakweli maaana tangu kaja bongo namuona kma kawa mshamba sana kma hajaishi ulaya anaongea sana na kma kawa Comedian vile
 
Nawaza tu endapo nchi hii itachukuliwa na chadema au upinzani ,je itachukua miaka mingapi kukijenga chama hicho kiuchumi kwa pesa ya walipa kodi wa Tanzania ndio maendeleo ya nchi yaje badae?nikiyakumbuka haya naamua kusimama na mama 2025

Punguza dharau na kebehi hazitakufikisha popote.
 
Mbona mnakariri sana?! Na serikali waliacha hiyo nafasi wazi kwa makusudi wakijua wananchi wajinga watashupaza shingo kumbetia huyo muhuni wa london na sinza. Kumbe hamjui ndo mlikuwa mnamuharibia

Ni makosa kutabiri nyadhifa za serikalini na hata kama unajua kaa kimya! Serikali hawapendi target zao ziende sawa na mtabiri. Hata kama ilikuwa sawa watafanya mabadiliko tu! Huyo Kikeke apewe tu mkataba TBC au AZAM aanze kazi aache uzwazwa atakuja kufulia achekwe. Maana wabongo hawachelewi
huyo wa BBCkajiharibia mwenyewe kwa Blaa Blaa zake amejitambulisha kama mtu mwenye mashara na utoto mwingi. Huwezi kumuweka msemaji wa serikali kwa Aina ya maisha anayojipambanua bwana yule!!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Matinyi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Aliye nacho ndiye huongezewa. Ngoja tusio nacho tuendelee kuwa watazamaji
 
mnadandia vitu msivyovijua , bwana matinyi ni mwandishi wa habari nguli tena mhariri mbobevu kabisa na kikubwa zaidi ni mtu wa mfumo, unadhani nchi inaendeshwa kwa social media? jamaa ni Senior sana katika kitengo , jiulize alipotoka mtanzania kama mhariri ilikuaje akaangukia ubalozi wa Tanzania Marekani? mtu tu wakuokota anapelekwa ubalozi kama muambata? Usemaji wa serikali sio kama zile press release za Zuhra Yunus lazima ujue nchi na nini kinaendelea na unaongea nini sio u MC wa Ikulu ule ile ni kazi very sensitive. sema tu kwakuwa nchi hii Jiwe alishaiharibu aliaminisha watu kila mtu anaweza kuingia serikalini kihuni tu na kufanya kazi yoyote.
 
Back
Top Bottom