Tetesi:
pascal Mayala jina lake lilijadiliwa kidogo sana, halikufika hata juu ya meza ya katibu, walilibwaga mapema sana kwa kuwa duru za intelijensia walimuona ana kauli chafu chafu za kibaguzi na uelewa wake wa kupambanua na kuchanganua mambo ulikuwa mdogo sana. Yaani ni bwege bwege fulani hivi anaejiona anajuwa kuliko handlers wake.
kikeke alionekana bado ana utoto mwingi na hayupo serious, pia hayupo vizuri na baadhi ya vyombo vya habari.
Hao wawili wajirekebishe, bado zipo nafasi nyingi za kuwekwa. Nawashauri wazisome na wazielewe kwa kina R nne za mama Samia.
Wakijirekebisha wana fursa kubwa sana ya kupelekwa mambo ya nje kama maafisa wa habari nje ya Tanzania. Waelewe kwa undani dhanna ya diplomasia ya uchumi.
Kama kuna short course za chuo cha diplomasia, wawahi kuzichukuwa.
Msinisemeshe mengi.
Reconcile Resilience Reform Rebuilding.