Mobhare Matinyi ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari–MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali

Toka lini hata leo ikawa ya pili?

Unaota?
Usijifananishe na Rais wetu... Mama wa watu hana muda wa kipuuzi kama wako.

Wale ni watu special! Choosen from god! Muda wao huwa ni wa mambo ya msingi sio kujizolea umaarufu wa kijinga mitandaoni kwa kujitia mjuaji kama wewe!

UKOME!
 
Kwa hiyo watu wa kitengo tu ndio wanaoweza kufanya kazi za ngazi za juu za serikali katika nchi hii??
 
Binafsi namfahamu yeye na kakaake kama marafiki na watu waliyesoma pamoja na Rais Mstaafu wa Congo DR Joseph Kabila.
 
MJINGA NAMBA NI WEWE! TENA WEWE NI MJINGA ULIYEKUBUHU! UKIENDELEA KUNILETEA MIMI MASHAUZI YAKO NAWEKWA KIZUIZINI (BANNED) SOON!

SINAGA MUDA WA KUWAREMBEA VINEGA WA AINA YAKO!

UKOME KUJIFANYA RAIS WETU!

 
UNAJIFANYA WEWE NI RAIS WA TANZANIA KUMBE NI MPUMBAVU MMOJA TU UPO KWENU KEKO MAGURUMBASI HUKO UNAJITIA UNA SYNDICATE ZA NCHI

JIANGALIE SANA WE KALAGABAHO!
Mtu anajifanyaje kuwa rais?

Hizo ni bangi au pombe?

Jifunze kuandika, hatuandiki matangazo hapa kwa kutumia herufi kubwa.


Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…