Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Utajiri nautoa wapi tena Tayana wangu? 😂😂Mmh tajiri hatabukifulia sio kivile 🤣
Choka mbaya mimi hapa nataka nije uniwezeshe mama mchungaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiri nautoa wapi tena Tayana wangu? 😂😂Mmh tajiri hatabukifulia sio kivile 🤣
HeheeeUtajiri nautoa wapi tena Tayana wangu? 😂😂
Choka mbaya mimi hapa nataka nije uniwezeshe mama mchungaji
Unakosaje mpya kwa mfano??Heheee
Sina jipya kipenzi.
🤣
Acha uongo huo uboss nauota tu😂The big boss CEO mwenyewe 😂😂
Mulasil akujengee hizi aisee😂Heheee
Sina jipya kipenzi.
🤣
Ma boss hampendi kujulikana tatizo 😂😂Acha uongo huo uboss nauota tu😂
Hizi blessings huwa nazipenda maana natamani kweli kuwa boss😂Ma boss hampendi kujulikana tatizo 😂😂
Uwe mara ngapi bhana boss.! 😂😂Hizi blessings huwa nazipenda maana natamani kweli kuwa boss😂
Au niwe tu na biashara kkoo😂
😂😂Uwe mara ngapi bhana boss.! 😂😂
Tupe ajira hizo tupate pesa za kula na za kufanyia skin routine 😜
Unaingiza pesa piah ... hii inategemea na sina wageni ambao unatgemea kuwapokea piah .....Maintanance ya hizo swimming pool zote itakuwa shughuli haswa
Nzuri ila ikiwa kila cottage inaswimming huoni itakuwa gharama ndio maana inawekwa mojA tuView attachment 3088690View attachment 3088691View attachment 3088692View attachment 3088693
hotel cottage design
Content
. Excutive suite contain
-lounge with 23sqm
-bed area with 23sqm
-bathroom with 9sqm
-kitchenate with 9sqm
-front and back patio Pool area of about 10sqm
And terrace of 15sqm
COST APROXIMATION FOR 1UNIT WITH TOTAL 70SQM =25,000-30,000 USD
-RENTAL COST PER NIGHT WITH CONSIDERATION OF NGORONGORO AREA COTTAGE AND KILIMANJARO IS 200USD PER DAY
DESIGN COST 900 USD
DESIGN AND BUILD WITH BILCHOMES
+255742892195
#cottagegarden #cottage #cottagehotel #cottagedesign
View attachment 3088696
Ndio gharama zina weza kuwa kubwa lkn itategemea na mahitaji ya myeja piah kama anataka iwe hivo na naweza kuafford haina shida ...Nzuri ila ikiwa kila cottage inaswimming huoni itakuwa gharama ndio maana inawekwa mojA tu
Ndio gharama zina weza kuwa kubwa lkn itategemea na mahitaji ya myeja piah kama anataka iwe hivo na naweza kuafford haina shida ...Nzuri ila ikiwa kila cottage inaswimming huoni itakuwa gharama ndio maana inawekwa mojA tu
yes ,iwe moja nzuri kwa woteNdio gharama zina weza kuwa kubwa lkn itategemea na mahitaji ya myeja piah kama anataka iwe hivo na naweza kuafford haina shida ...
Zako kuepuka gharama unaweza usiweke swimming kwenye kila cottage
Mmh Kwa hela Gani alonayo🤣Mulasil akujengee hizi aisee😂
🤣🤣🤣Nazitoa wapi ssUnakosaje mpya kwa mfano??
Em njoo bobo kwanza uniambie vizuri 😂😂
Bro, nakusalimu kwa jina la Bwana..!!
😂😂Ila ni nani? Nakuonaga unavyowapanga humu 🤣🤣🤣
Unajua bana sema hupendi wajue.!
Carleen umemsikia bro ako?!!
Napokea salaam mama mtumishi, hope uko vyema kabisaBro, nakusalimu kwa jina la Bwana..!!