Hizi blessings huwa nazipenda maana natamani kweli kuwa boss😂

Au niwe tu na biashara kkoo😂
Uwe mara ngapi bhana boss.! 😂😂
Tupe ajira hizo tupate pesa za kula na za kufanyia skin routine 😜
 
Nzuri ila ikiwa kila cottage inaswimming huoni itakuwa gharama ndio maana inawekwa mojA tu
 
Ndio gharama zina weza kuwa kubwa lkn itategemea na mahitaji ya myeja piah kama anataka iwe hivo na naweza kuafford haina shida ...
Zako kuepuka gharama unaweza usiweke swimming kwenye kila cottage
 
yes ,iwe moja nzuri kwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…