Na ndie alie kuwa na pengine mpaka sasa ni mchungaji katika kanisa.Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.
Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.
Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.
Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Acha upumbavuNenda wewe kamkamate kama ubavu huo unao 😃
Au alitishia kutoa hii siri?Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Unajitekenya unacheka mwenyewe… nenda kwani umezuiwa 😃Acha upumbavu
Yule mwanasheria,ayatollah na yule shehe tunayemuheshimu sanaVile vyama vya kulinda Kura hahaaha wataendelea kulinda kura? Wajinga wakubwa wale
Mchungaji hadi katajwa, itakuwa ndio anamsaidia Polepole kutokuwa hacked maana ni mtaalam wa IT , wazalendo bado wapoMuacheni mchungaji tafafhali
Mbowe alisema amepumzika anatafuta mafeneche usimsingizie katika hiliWazo la Mbowe hilo
Mungu mwenyewe ndio analijua mioyo yetu!UCHAGUZI WA 2020
View attachment 3448771
Mkurugenzi wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi nchini NEC Dk. Charles Mahera amesema kuwa hadi sasa NEC imeanza kupokea matokeo ya Urais 2020 kutoka maeneo mbalimbali na kuyahakiki kabla ya kutangazwa na zoezi hilo la utangazaji litaanza muda wowote kutoka sasa
Tena zilikuwa zinafinyia kwa ndani dadeqJana upepo umepuliza nyeti za kuku zimeonekana mubashara...🤣
Dogo ameamua kuchafua alichoshiriki kukifanyaMwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.
Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.
Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.
Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Mkuu,Polepole atakuwa na majibu ya swali hili, maana kasema alihusika moja kwa.moja.
Inasemekana na Gwajima naye anajianda kuja kumwaga radhi hadharani.
Huwa nafurahia sana ninapoona kambi ya mbogamboga inawaka moto
Again acha upumbavuUnajitekenya unacheka mwenyewe… nenda kwani umezuiwa 😃
Mkuu unampima vipi kwamba ana underdeliver? seems unajua zaidi yake, if so tupe hayo ambayo hajadeliver!He is repeatedly overpromise and underdelivers.
Hivi yule mtoto M bado ni mwalimuMuacheni mchungaji tafafhali
Hakuunganisha kwa nia mbaya, lengo lilikua ni kulinda nchi dhidi ya mabeberu.Ulaaniwe mchungaji feki Kipilimba popote ulipo kwa dhambi kubwa hii uliyoitengeneza, wewe ukifa unaenda kuwa kuni za kuwachomea majizi wenzako.