TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Asante sana kwa kuja haraka kuniondoa dukuduku. Hata hivyo, nitatumia makala niliyokupa hapo juu katika kujiridhisha usalama wa blockchain. Nitasubiri umalize maelezo yako, nami nitakupa maoni juu ya yale ambayo nitakuwa bado nina wasi wasi nayo....kadhaa wa Blockchain zenye features mbali mbali za usalama na mabo mengine mazuri
Nimekupata Mkuu. Bado ilikuwa si kolabo ya kitoto hiyo, aisee.Mkuu hapo nilikosea siyo mama NI mtama
Mkuu unampima vipi kwamba ana underdeliver? seems unajua zaidi yake, if so tupe hayo ambayo hajadeliver!
Naendelea mkuu, naandika pembeni then nakuwekea hapa. Hatuwezi fanya conclusion kwa makala ya mtu mmoja, maana pia nina makala nyingi zinazoe elezea usalama wa Blockchain. Ni lazima mwisho wa siku kupitia kila angle kabla ya kuja na jumuisho la kuhitimisha. Mda si mrefu naweka phase two.. Tukianza wekeana makala humu hatutomaliza mjadala 😅Asante sana kwa kuja haraka kuniondoa dukuduku. Hata hivyo, nitatumia makala niliyokupa hapo juu katika kujiridhisha usalama wa blockchain. Nitasubiri umalize maelezo yako, nami nitakupa maoni juu ya yale ambayo nitakuwa bado nina wasi wasi nayo.
Pia ili kupunguza maswali mengi, ungeenda kwenye makala ile niliyokupatia source na uanze kujibu hoja za David Jefferson moja kwa moja.
HajajisafishaDuniani tunapita tu bora kajisafisha
mafala hao sijui wataongea nini?Vile vyama vya kulinda Kura hahaaha wataendelea kulinda kura? Wajinga wakubwa wale
Au kifungu gani cha sheria?Akamatwe haraka na ashtakiwe
Acha makasiriko we CHIZIAgain acha upumbavu
Ushakuwa mtu mzima acha upumbavuAcha makasiriko we CHIZI
Maybe you're more knowledgeable than us but you are silent however silence surrenders public responsibilitiesKwanza kusema anayesema Polepole ana underdeliver anajua zaidi yake ni non sequitur logical fallacy.
I doubt you understand the concept and relationship between someone's promise and delivery. Ungeelewa, usingesema kwamba inaonekana ninajua zaidi.
Sihitaji kujua zaidi yake ili kuona huyu ka pronise 100% lakini alicho deliver hakijafika hata 5%.
Wabongo wengi kama wewe wana hiki kitabia cha mashindano cha kuweka non sequitur fallacy na false dichotomy kwamba , ili mimi kumshika Polepole kwenye hoja, inabidi niwe najua zaidi yake.
Sihitaji kujua zaidi yake, nahitaji kuona contradiction kwenye hoja zake tu. Huelewi wapi?
Naweza kusema ana under deliver kwa sababu alisema atalipua bomu la nuclear halafu anakuja kulipua baruti ambazo hazijafika hata level ya Molotov cocktail explosion.
Sasa hapo nahitaji kujua mengi zaidi yake kusema alisema atalipua nuclear bomb halafu alicholipua hakijafikia hata Molotov cocktail.
So your logic is flawed there.
Polepole alimpa Samia ultimatum asichukue fomu ama sivyo atapasua bomu. Basically patachimbika. Kimsingi hataruhusu Samia awe mgombea wa CCM.
Sasa Samia kachukua fomu. Mabomu yenyewe yako wapi?
Ndiyo haya?
Mbona Samia hata hajishughulishi kumjibu?
Mbona hakuna Polepole alichosema ambacho hakikujulikana awali?
Polepole kaongea kipi kipya ambacho hakikujulikana?
That is what I mean. He overpromised but when it comes to delivering, he underdelivered.
Kwan lissu amepewa kesi ya uhain kwa vifungu gani vya sheria?Au kifungu gani cha sheria?
Wewe acha UCHOKO 😃Ushakuwa mtu mzima acha upumbavu
Mwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.
Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.
Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.
Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
NaamMpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kwa nini unatumia hoja ya kuniambia maybe I, Kiranga, am more knowledgeable than you wakati mimi nishasema sina ujuzi zaidi specifically kwenye hoja hizi, na wala sijatumia point ya ujuzi zaidi kumsema Polepole, nimetumia point ya logical consistency tu?Maybe you're more knowledgeable than us but you are silent however silence surrenders public responsibilities
Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa
Kumbe kunyamaza pia siyo uzalendo
Na ndiye aliye ongeza yeye na Makonda jitihada za kumaliza maisha ya LissuMwaka 2015 alikuwa mfanyakazi BOT Alitolewa BOT kwa taarifa kwamba anaende likizo.
Mwaka huo huo 2015 akaibukia NEC akafanya aliyoyafanya.
Baada tu ya Magufuli kuingia Ikulu aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa NIDA.
Badae akateuliwa kuwa mkurugenzi wa TISS.
Mpaka anaondoka TISS ilikuwa mshike mshike mpaka aliwekwa house of arrest.
Kabla ya kuteuliwa kuwa balozi wa TANZANIA nchini Namibia!!
Je ndiye alikuwa nyuma ya kuunganishwa kwa CCM,NIDA na NEC?
Asante sana. Nakuunga mkono hoja yako ya kumaliza hili jambo haraka! Lakini, tulimalize kwa haraka na umakini bila kulitumbukiza taifa kwenye matatizo endapo tutashindwa kufanya uchambuzi kwa ukweli na umakini kungudua loop holes kwa kile tutakachukowa tunashauri.Ni lazima mwisho wa siku kupitia kila angle kabla ya kuja na jumuisho la kuhitimisha. Mda si mrefu naweka phase two.. Tukianza wekeana makala humu hatutomaliza mjadala 😅