Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
- Thread starter
- #21
Wewe Ukraine umefika Lin ? Tuanzie hapoMnaongea ti humu lakini Russia alivyofanya Ukraine Mwenyezi Mungu ndiye anajua.
Mnaoongea Ni kwa sababu hamjafika Ukraine kaharibu kila kitu infrastructures, tourism's, humanity,dignity, etc it's not fair , mbaya zaidi Russia ipo poa hakuna hata jiwe limewahi kurushwa