Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Yeah Mchina sio warmonger kama MarekaniHawa jamaa kwenye ulimwengu wa biashara na uchumi wame teka sehemu mbalimbali za dunia. Ni ngumu kuwa kwepa napenda namna wanavyo tanguliza ushirikiano wa biashara na uchumi mbele kuliko vita. Na uchumi na biashara hawa mabwana wanaweza sana kudos nyingi ziende kwa chama makini CPC wanajua kazi yao kama chama kwa China.
Hii imekaaje Balozi wa China kufanya mazungumzo ya kitaifa kwenye ofisi za chama cha siasa!?
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. My take : Hii imekaaje wanajamvi!? balozi anayewakilisha maslahi ya china kwa Tanzania kwenda kufanya mazungumzo ya kitaifa kwenye ofisi za...www.jamiiforums.com
Naona unatuma tuma nyuzi nyingi kwa hiyo hapo balozi ameingilia maswala yetu ya ndani ?Balozi wa China kuvaa gwanda za CCM sawa, ila balozi wa Norway kunywa chai na Seif NO
Leo ndo CCM wanaona dhambi mabalozi kushiriki siasa? Mbona kule Shinyanga balozi wa China alivaa gwanda na kuhutubia mkutano wa CCM chini ya Katibu mkuu Kinana? Wapinzani walipopiga kelele kuhusu mabalozi kujihusisha na siasa mliwaona wajinga na mkajaa kiburi. Leo mnalaumu eti "kuna...www.jamiiforums.com
Naona unatuma tuma nyuzi nyingi kwa hiyo hapo balozi ameingilia maswala yetu ya ndani ?
Na unafahamu balozi alikuwa ana zungumza nini na hao wana CCM ?
Wanasikitisha Sana hawa wajingaUna uelewa mdogo sana kuhusu Geopolitics.
Sera kubwa ya China ya mambo ya nje ya kutuuzia earphones, toothpicks, vitana, kuchukua tenda kubwa kubwa za kujenga barabara na vibarua kutoka kwao huku kampuni za wazawa wakitoa tu macho wewe ndio unaona sera bora ya mambo ya nje??
Inasikitisha kufurahia Africa kuwa dampo la bidhaa hafifu za wachina na sehemu za kujaza wachezesha kamari wa Kichina.
Ujamaa ni laana hakika.
Unafikiri wamarekani ,Canadians na EU ni wapumbav kiasi hicho ? ,au ulivyosikia wanacease Mali na fedha za Russia kwenye hayo mataifa uliona ni upuuz ? ,Hizo Mali na fedha zilizokuwa ceased zitatumika kama subsidies kujenga upya Ukraine , Ukraine si Africa ,na akili zenu dumavu .Yaani hata Putin akisimamisha vita,Majeshi yake yalichofanya Ukraine kwa miezi 7 ni kama ameirudisha Ukraine miaka 50 nyuma.Miundo mbinu kama njia za reli,viwanja vya ndege,mabwawa ya maji,vinu vya kuzalisha umeme,nk vimeharibiwa vibaya mno! Madeni yanayotokana na silaha alizopewa na US N NATO usifikiri amepewa bure! Waukraine watalipa madeni kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Kwa kweli itachukua miaka mingi Ukraine kurudi kama ilivyokuwa kabla ya Vita.
VITA NI MBAYA MNO!
Sawa ngedere mwenzangu. Unaandika tokea wapi ndugu ngedere?Pumbaf Bible hiyo hiyo mnayosema ni utumwa WA mabeberu , watu weusi ni ngedere
Hiyo sio sera ya mambo ya nje ya China [emoji38]. Acha kuongea vitu usivyo vifahamu.
: Sera ya mambo ya nje ya China ni kuto ingilia maswala ya ndani ya taifa husika.
Kuna mabunge ambayo siyaelewi hapa dunia moja wapo ni bunge la Tanzania, U.K , Cannada haya ni mabunge ya hovyo sana yapo kama mabanda ya kuangalia mpira kila mtu anaropoka anavyo jisikia . Ila bunge na vikao vya CPC unaona kabisa hapa wamekaa watu wenye akili wanao jadili mambo muhimu ya China hauwezi kuona au kusikia kelele za hovyo bali utasikia mipango tu hapo .Yeah Mchina sio warmonger kama Marekani
Hawa jamaa kwenye ulimwengu wa sasa wa kibiashara hawakwepeki hata kidogo
Kile chama kina watu makini sana ni wazee fulani hivi wenye busara zao sana ukiwaona kwenye mikutano yao
Wanajua sana kuyalinda na kusubsidy makampuni na taasisi zao ndo maana zinakua kwa kasi na kupenya kila kona duniani
Hili taifa la China ni watu wanajiolewa sana. Hao wazee ndo wameshikilia hilo taifa sera na maamuzi yao ni kuijenga China na watu wakeKuna mabunge ambayo siyaelewi hapa dunia moja wapo ni bunge la Tanzania, U.K , Cannada haya ni mabunge ya hovyo sana yapo kama mabanda ya kuangalia mpira kila mtu anaropoka anavyo jisikia . Ila bunge na vikao vya CPC unaona kabisa hapa wamekaa watu wenye akili wanao jadili mambo muhimu ya China hauwezi kuona au kusikia kelele za hovyo bali utasikia mipango tu hapo .
:Humu wana kaa watu tu wanao jitambua.View attachment 2360821View attachment 2360822View attachment 2360823View attachment 2360824View attachment 2360825
Hapo unadanganyika mkuu,wamejenga nchi ngapi walizoharibu kwa vita? Walishika mali na fedha za Libya chini ya Gaddafi wamejenga nini Libya?Unafikiri wamarekani ,Canadians na EU ni wapumbav kiasi hicho ? ,au ulivyosikia wanacease Mali na fedha za Russia kwenye hayo mataifa uliona ni upuuz ? ,Hizo Mali na fedha zilizokuwa ceased zitatumika kama subsidies kujenga upya Ukraine , Ukraine si Africa ,na akili zenu dumavu .
Wewe sasa mkuu tunaweza kuongea lugha moja maana unacho ongea ndicho exactly China Wana fanya kwa sasa hata kwenye ulimwengu wa AI na Chips ndivyo China inapambana kwa sasa hivyo hivyo ulivyo sema .Na sasa hivi serikali ya China imemwaga pesa kwenye masula ya R&D (Research and Development) ili ashindane kikamili na Marekani kwenye technology na innovation
Shenzhen ndo jiji ambalo kwa sasa Mchina amefalifanya kama Silicon Valley (the world's tech innovation hub in the coming years)
Huko uwe wewe ni Mchina au mgeni una new idea au innovation serikali inakugharamia kila kitu na kila aina ya materials unataka ili ufanikiwe kwenye hiyo innovation yako.
Maana kwa sasa ushindani wa technology umekuwa mkubwa. Kwa dunia ya sasa ukiwa na intellectual property kwenye technology na innovation fulani unakuwa sio dependent kwa mataifa mengine then unavuta mpunga maana makampuni ya mataifa mengine yanakuwa yananunua teknolojia yako
Kweli kabisa licha ya kuwa kila mtu ana mapungufu yao hata wao pia wana mapungufu, Lakini linapofika swala la userious wa nchi hiki chama kipo mbali sana . Na ndio maana wana tumia system ya meritocracy kupata viongozi/ uongozi . Ukigusa CV za hao manguli ni CV za hatari katika ulimwengu wa siasa na uongozi licha ya kuwa hawafanyi siasa za. makelele Kama wafanyavyo mataifa mengine na ndio maana watu hawawa fuatilia au kuwa tilia maanani.Hili taifa la China ni watu wanajiolewa sana. Hao wazee ndo wameshikilia hilo taifa sera na maamuzi yao ni kuijenga China na watu wake
Sio kama wabunge wapenda kiki kama wa bunge la Tz mara mbunge anaruka sarakasi mara anataka aimbe mara anampigia magoti spika. Unafikiri taifa lenye wabunge kama hawa taifa litapiga hatua za kimaendeleo. Jibu ni Big NO!
Kabisa mkuuWewe sasa mkuu tunaweza kuongea lugha moja maana unacho ongea ndicho exactly China Wana fanya kwa sasa hata kwenye ulimwengu wa AI na Chips ndivyo China inapambana kwa sasa hivyo hivyo ulivyo sema .
Kwenye Electronic Vehicle china wapo dunia ya peke yao maana washindani wao wameawacha mbali licha ya kuwa wana wapa ushindani.
China anakupa mkopo uliobora wa maendeleo ni wewe na ujinga wako kushindwa kuipeleka hiyo pesa kwenye maendeleo na kuila alafu baadae uje uilalamikie China utakuwa una shangaza. raha ya deni ni kulipa rongo rongo hazitakiwi.Tena mshukuru sana watawala wenu wanapowekewa masharti na vigezo vya demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria wanapotembeza bakuli kuomba misaada na mikopo Marekani na Ulaya. Vinginevyo wangekuwa wanaotoa hiyo mikopo kama kibubu babu kama Wachina bila kuweka hizo breki kwa watawala wenu mngenyonyolewa kama kuku wazima ambao hawajachinjwa.
Unaijua sana ChinaKweli kabisa licha ya kuwa kila mtu ana mapungufu yao hata wao pia wana mapungufu, Lakini linapofika swala la userious wa nchi hiki chama kipo mbali sana . Na ndio maana wana tumia system ya meritocracy kupata viongozi/ uongozi . Ukigusa CV za hao manguli ni CV za hatari katika ulimwengu wa siasa na uongozi licha ya kuwa hawafanyi siasa za. makelele Kama wafanyavyo mataifa mengine na ndio maana watu hawawa fuatilia au kuwa tilia maanani.
Hii politburo imejaa vichwa.
View attachment 2360835
Watu hii Vita ya kiuchumi ni kama hawa ifuatilii lakini ina mengi ya kutufunza sisi Kama Tanzania.Kabisa mkuu
Juz kati hapa Marekani wanafikiria kutoiuzia China aina fulani ya chips wakidai zinawasaidia Wachina kwenye teknolojia ya kijeshi
Kumbe Mchina alishajua kitambo hilo alishaanza kutengeneza chips zake. Imekuwa too late kwa Marekani
Mchina ndo bingwa wa kutengeneza gari za umeme na kwa sasa kalishika soko la battery bora za magari ya umeme tena 🤣🤣🤣
Watu wanadhani ni rahisi kutawala taifa kubwa kama lile lenye watu wengi hali hitaji viongozi wa hovyo hovyo tu . Maamuzi wanayo chukua hawa mabwana ndio wanafanya China kuendelea kuwa bora na salama mpaka sasa.Unaijua sana China
Hiyo system ya Meritocracy ndo imeifanya China iwe na utulivu na amani
Sio poa kuongoza taifa lenye watu zaidi ya bilioni moja inataka utashi sana
Hahaha nilicheka sana wakati wa sakata la yule bibi Pelos kwenda TaiwanWatu hii Vita ya kiuchumi ni kama hawa ifuatilii lakini ina mengi ya kutufunza sisi Kama Tanzania.
Kwenye Chips moto huko sasa hivi unawaka sana China inalipa mainjia pesa za kutosha ili kubuni Chips zenye uwezo zaidi serikali imewekeza mabilioni ya fedha huko Shanghai , Shenzhen .yeye marekani anaweka vikwazo tu kitu ambacho ni faidi kwa China kwa sababu depence yake kwa marekani inapungua kwenye Chips sasa hivi PRC haitegemei tena ROC kwa kiwango kikubwa kwenye Chips.