MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

asa Bishanga mihela kwa nani? kwa Fixed Point? wala usisubutu. Niulize mimi. Kwa cacico? Huyo ana 'mguu wa kuku' kabisa. uliza aliupata kwa sababu gani? sio matwins. charminglady ndo ivo tena..

sasa ukiwatishia na lunch za kempisk, wao wanajua kabisa hizi kamba afu watakupeleka ukweli...ukinipigia simu umekwama apo ujue siji. ili ujifunze

mkuu we niunganishe tu na mmoja wa hawa,mengine niachie,wakitaka breakfast grand regency nairobi,lunch The four seasons london na dinner hilton ya new york nitampeleka tu kamanda.
 
sasa Bishanga nani kamrithi sweetlady jamani??? maskini shoga angu, nani baazazi kuu humu ndani limrithi?? kadogoo malezi ya singo parent itakuwa mbaya wallah!

erickb52 ndo anajimuvuzisha kwa sweetlady,ulikuwa hujui?
 
Last edited by a moderator:
mkuu we niunganishe tu na mmoja wa hawa,mengine niachie,wakitaka breakfast grand regency nairobi,lunch The four seasons london na dinner hilton ya new york nitampeleka tu kamanda.
kwa style hii ya hayo mahotel Bishanga si ujaribu kwa 'muke ya mudhungu', utasema alizaliwa kwenye mahoteli, mi hapo bado sijaona ya viwango vyangu, hebu endelea kumeshen, lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom