Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?
Jukumu la ulinzi wa nchi ni la kila mtu ambaye ni raia wa nchi hii. Hili jukumu ni wajibu wa lazima siyo hiari. Kupata nafasi ya kuteuliwa ni moja ya haki yako ya kutekeleza jukumu la lazima la kuimarisha ulinzi wa nchi.

Kukataa nafasi ya uteuzi ni hatua mojawapo ya kuelekea kuhatarisha usalama wa nchi na kwa wale wenye miwani mikali kitendo hicho chaweza kufananishwa na uhaini. Kwa hiyo, uwe umepewa taaarifa ama la lazima utii wito wa kuteuliwa!
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah...sijui nisemeje tu...

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni??

The guy is cocking a snook at just about everything...norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man...

Kuna mahala katiba ya JMT imetamka kuwa rais anatakiwa atoe taarifa kwa mtu atakae mteua?
 
Na anawafukuza hivyo hivyo..
Kuna thread niliandika hapa hadi jumapili au siku za sikukuu usiku wa manane..anafukuza na kuteua...

Watu wanakula sikukuu na familia zao wanashangaa habari ziko social media wameteuliwa au washafukuzwa
Kuna mmoja alisimamishwa na Polisi(Trafiki) akiwa ziarani sehem fulan Manyoni/Singida akaambiwa tu tuachie gari letu ushatumbuliwa. Gari ikatolewa bendera(Ni wale wa cheo cha kutembea na bendera na Herufi(sio namba) katika Number plate) zikatolewa basi dereva anaondoka na gari

Jamaa sijui alirudi nyumban na Lifti ya Fuso
 
So you are saying that he is a pathological liar?
Umewahi kuishi vijijini? Unajua maisha ya mbwa huko vijijini? Wafuga mbwa vijijini huwa wanauliza mbwa wao kama watakubali kupewa chakula fulani? Basi kwa kifupi Magufuli ni rais mwenye kiburi na anajua kabisa hakuna wa kukataa uteuzi kwenye siasa za Tanzania. Anajua wanasiasa wote wako kule kushibisha matumbo yao hivyo hawawezi kukataa uteuzi wowote. Kuna wanaosema eti huenda amesema uongo na aliarifiwa kabla. Hao hawajamsoma vizuri Magufuli. Mimi naamini ni kweli kabisa huwa anateua na kutangaza bila kumuarifu mhusika.
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah...sijui nisemeje tu...

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni??

The guy is cocking a snook at just about everything...norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man..

Nashangaa watu mnavyoshindwa kusoma maadishi yaliyo ukutani, huyu sio mtu wa kawaida kwa maana kuwa huenda anaihitaji zaidi matibabu ya upstairs
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo [emoji12].

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah...sijui nisemeje tu...

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni??

The guy is cocking a snook at just about everything...norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man...
Leo mkuu hujaenda hata kanisan au we ni shehe au mu Adventist! Inaleta mambo ambayo tayari unayemsema kashaanza na majukumu yake na huenda kashamshauri mkuu wa kumtumbua
 
Kwa nini si lazima upewe taarifa?

Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?

Dr Bashiru alisema akipewa kazi yyt zaidi ya hiyo ukatibu mkuu CCM atakataa!
Sasa anacho taka kutuaminisha ni kuwa kateuliwa kuwa CS wa bila kuambiwa na kama angeambiwa ANGEKATAA!
Mm isha mpuuza
 
Jukumu la ulinzi wa nchi ni la kila mtu ambaye ni raia wa nchi hii. Hili jukumu ni wajibu wa lazima siyo hiari. Kupata nafasi ya kuteuliwa ni moja ya haki yako ya kutekeleza jukumu la lazima la kuimarisha ulinzi wa nchi.

Kukataa nafasi ya uteuzi ni hatua mojawapo ya kuelekea kuhatarisha usalama wa nchi na kwa wale wenye miwani mikali kitendo hicho chaweza kufananishwa na uhaini. Kwa hiyo, uwe umepewa taaarifa ama la lazima utii wito wa kuteuliwa!
Mkuu vipi kama nina maradhi ambayo yatakwamisha utendaji kazi wangu na kudhoofisha/kuhatarisha afya/uhai wangu? Nikubali tu nisionekane haini halafu nizikwe two weeks later?
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?

The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man.

Pengine Meko anashindana na social media speculation hasa Kigogo 2014. Inawezekana hata hakukusudia kumteua BASHIRU ALLY pengine ni yale majina ambayo Kigogo 2014 aliya Leak-isha ya akina Alfayo Kidata, Christopher Kadio na Profesa Makubi. Ili kumkomoa Kigogo ndiyo akaruka na surprise ya Bashiru Ally Kakurwa ambayo Haiku -Leak
 
Kwa nini si lazima upewe taarifa?

Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?
Strange, mtu akiikataa hiyo nafasi inakuwaje?? Au alikuwa na uhakika jamaa kachoshwa na mambo ya kwenye chama, asingeikataa hiyo nafasi.
Hakuna discussion ya job description, terms & conditions?? 🤔

Nafikiri anaogopa Kigogo kutangaza kabla yake, maana kule hakuna siri.

Everyday is Saturday................................😎
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?

The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man.

Mzee na nawe unaamini kabisa kuwa Bashiru hakutaarifiwa kabla na taarifa za uteuzi wake kazikuta mitandaoni?
 
Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Je ukiniteua kimya kimya hivyo ukanitangaza kwenye mitandao hiyo halafu nikaukataa uteuzi hujapata aibu we mteuaji? Kuna busara kubwa sana katika kumshirikisha mteuliwa kabla ya kumtangaza. Huu ni ukweli usioweza kuupiga kwa hoja!
 
Siku zote huwa nafikiri huyu demu anajua kusoma na kuandika tu ! Hajawahi kuandika kitu cha maana takribani miaka minne kila siku pumba tupu. Kwa mtazamo wangu hafai hata kuwa house girl, leave alone to be wife of any man.
Asijekuwa ndiye yule alikuwa kila comment lazima aseme walahi
 
Jukumu la ulinzi wa nchi ni la kila mtu ambaye ni raia wa nchi hii. Hili jukumu ni wajibu wa lazima siyo hiari. Kupata nafasi ya kuteuliwa ni moja ya haki yako ya kutekeleza jukumu la lazima la kuimarisha ulinzi wa nchi.

Kukataa nafasi ya uteuzi ni hatua mojawapo ya kuelekea kuhatarisha usalama wa nchi na kwa wale wenye miwani mikali kitendo hicho chaweza kufananishwa na uhaini. Kwa hiyo, uwe umepewa taaarifa ama la lazima utii wito wa kuteuliwa!
Kuna watu mnajua kujivua nguo, ukute kuna watu wanaishi kwa moingozo yako,
Poor them
 
Back
Top Bottom