Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

Kwa nini si lazima upewe taarifa?

Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?

Huyo hajui kwamba kupata taarifa za uteuzi inaweza kuwa hiari lakini ukishaapishwa/ teuliwa kutimiza wajibu wako ni lazima. Kwa maana hiyo mteuzi kusikia maoni ya mteuliwa kuhusu utayari wa kupokea hayo majukumu ni muhimu sana.

Ikumbukwe huyu katibu wa chama aliwahi kusema huko awali hategemei kushika wadhifa mwingine, huu ukatibu wa chama ndio nafasi ya mwisho kabisa kwake, anamuweka wapi mzee wa watu kwa hayo maneno yake?

Na teuzi za namna hii inaonekana ni kasumba yake.
 
Ukweli ni kwamba uwezekano wa mtu kukataa cheo au nafasi aliyoteuliwa ni mdogo sana na ni sawa kama haupo. Kwanza kama ukikataa uteuzi ni sawa na kuharibu future political ambitions zako. Kama wewe una mpango au nia ya siku moja kugombea labda Uraisi huwezi kukataa uteuzi kama huu. Ni political suicide. Kwa hiyo lazima tuu ukubali ufanye kazi.
 
Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Ulikuwa unaelekea kupona kabisa, lakini naona siku za karibuni umeanza tena kuharibika sijui umeacha kutumia dawa?
 
Kuna jamaa angu alikula uteuzi taarifa jioni, saa 3 asubuhi anatakiwa ikulu kuapishwa.

Heee, kweli hakuna kisichowezekana kila aina ya usafiri ulitumika.

Ila busara ni notification kwa mteuliwa hata in 24hrs atafakari na kujiweka sawia.

Maana position nyingine ile unatajwa tu tyr upo monitored kila hatua.
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?

The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man.

Labda kweli, nafikiri alikuwa sehemu nyeti anaongeza ubani kwenye chetezo au kuchoma udi ili mambo yaende kama yalivyotokea, si kama mjuavyo imani ya mwafrika bila kuichochea inakufa.
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo [emoji12].

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?

The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man.
Kwaiyo boss wako akitaka kukupandisha cheo aanze kwanza kukuuliza sio ukite barua tu kuwa umepandishwa cheo? Kuna wanaofuata utaratibu wako unaouwaza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwigulu alitumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani akiwa ziarani anazurura!
 
Kawaida ya "mitume"..... yule aliyekuwa na wanafunzi 12, si unakumbuka wengi alikuwa anawaambia tu "nifuate" na wanamfuata?

Hivi Kangi Lugola yupo wapi siku hizi?

Kabla ya kuwarasmisha wale 12 alijitenga na kuomba(meditate) usiku mzima.

Labda hii pia hii ndiyo modus operandi ya Rais wetu mchamungu.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?

The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man.

Usijali. Huo ndiyo mwendo wa Mi5 tena.
 
Sidhani kama iko hivyo. Hebu fikiria labda wewe ni konda wa daladala uko njiani kuelekea k/koo na huku umeteuliwa na huna taarifa
 
Mkuu vipi kama nina maradhi ambayo yatakwamisha utendaji kazi wangu na kudhoofisha/kuhatarisha afya/uhai wangu? Nikubali tu nisionekane haini halafu nizikwe two weeks later?
Taasisi ya uteuzi ipo kazini masaa yote! Wanajiridhisha kwanza kabla ya kupeleka jina kwa muhidhinishaji wa uteuzi. Kujiridhisha huko kunajumuhisha utafiti juu ya afya ya mlengwa wa uteuzi! Kwa hiyo, mkuu kaa mkao wa kuteuliwa tena bila wasiwasi; hofu zako taasisi ilishazifanyia kazi na inazizingatia kwa umakini mkubwa.

Kumbuka, lengo ni kuimalisha ulinzi wa nchi, Taasisi inazingatia hilo ndiyo maana mara moja ikishaona mushikeri inabadili uamuzi.
 
hupaswi kushangaa CCM na unafiki ni kama pete na kidole ila nikuambie tu hiyo statement aliisema kuspin ile video inayotend kuwa hatokua tayari kupokea teuzi yoyote ukatibu mkuu wa CCM ndio cheo kikubwa kwake hafikirii kingine!
 
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.

Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.

Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;

Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.

Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.

Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.

Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.

Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.

Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.

Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.

Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?

The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!

Man oh man.

Kweli unorthodox. Kama Hitler wa Ujeremani enzi zile.
Hapa tumepatikana
 
Kwa kiongozi mwenye vast network ya Intelligence gathering ya tabia na mapenzi ya kikazi ya watumishi anao fanya não sio kitu cha ajabu.

Na hii tunafanya pia kwenye shuguli zetu tunayo ziendesha katika makampuni mengi.

Although kuna ukakasi kwa ambao hujafaya não kazi au kushughulika não kwa mambo mengi .

ILA NI MZURI NA SNAO UJASIRI WA AINA YAKE KWA KUTEUA NA HASA KWENYE HEAD HUNT.
 
Ukisema ukweli unaambiwa siyo mzalendo mara mchochezi mara umemtolea maneno ya kashfa...
 
Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Bahati nzuri ni kuwa sisi wengine tulishashika nafasi za uongozi katika taasisi ambazo chini yako kunakuwa na wafanyakazi kati ya 20 - 50 walio ktk idara mbalimbali za taasisi...

Kama unataka kuteua mkuu idara fulani, huwa ni busara na hekima uwasiliane na mtu huyo iwapo atakuwa tayari kubeba jukumu unalotaka kumpa. Na swali huwa ni moja tu na rahisi kabisa..

".....tunatafuta mtu wa kuongoza idara ya...... Wewe kwa mtazamo wangu nimekuona u miongoni mwa wanaoweza. Je upo tayari kubeba jukumu hilo ikitokea umepewa nafasi hiyo....?"

Kwa ishu ya Bashiru Ally Lyakurwa, kuteuliwa kuwa CS, japo ktk hotuba yake hii "anazuga zuga" kusema ukweli, lakini mimi ninaamini kwa 95% kuwa alikuwa na taarifa na lazima kulikuwa na consultations kati yake na Rais kabla ya uteuzi kuwekwa wazi....!!

NA KUMBUKA: Taarifa ninayoongelea hapa si ya "nimekuteua CS, kwa hiyo subiri nikutangaze". Hapana, hii hubaki kuwa "confidential" mpaka itangazwe...

Taarifa ninayoongelea kuwa alikuwa nayo ni ile ya "consultations". Na ieleweke kuwa, consultation ni kama " interview " na inaweza kujumuisha watu zaidi ya mmoja...

Lakini ushindi ni wa mtu mmoja kwa sababu nafasi ni moja. "Aliyeshinda" uteuzi, taarifa hii hubaki siri mpaka ametangazwa rasmi. Kama Bashiru alimaanisha hivi, basi nakubaliana naye....
 
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Hii ndio style yake ya uteuzi. No wonder wakati mwingine anaingia chaka.

Sijashangaa sana maana najua watu kama wawili waliojua kuhusu teuzi kwenye nafasi nyeti kupitia Twitter, ila hili la CS naona limezidi, this cavalier attitude inapunguza heshima ya hizi posts.
 
Back
Top Bottom