Kwa nini si lazima upewe taarifa?
Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?
Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Ulikuwa unaelekea kupona kabisa, lakini naona siku za karibuni umeanza tena kuharibika sijui umeacha kutumia dawa?Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Labda kweli, nafikiri alikuwa sehemu nyeti anaongeza ubani kwenye chetezo au kuchoma udi ili mambo yaende kama yalivyotokea, si kama mjuavyo imani ya mwafrika bila kuichochea inakufa.Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.
Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.
Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;
Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.
Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.
Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.
Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.
Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?
The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!
Man oh man.
Kwaiyo boss wako akitaka kukupandisha cheo aanze kwanza kukuuliza sio ukite barua tu kuwa umepandishwa cheo? Kuna wanaofuata utaratibu wako unaouwaza?Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.
Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo [emoji12].
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.
Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;
Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.
Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.
Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.
Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.
Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?
The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!
Man oh man.
Vip Rais anapotembelea mahala ni lazima kutoa taarifa au hapana?Kwa nini si lazima upewe taarifa?
Utajuaje kama mtu huyo anataka kuifanya hiyo kazi unayotaka kumpa?
Kawaida ya "mitume"..... yule aliyekuwa na wanafunzi 12, si unakumbuka wengi alikuwa anawaambia tu "nifuate" na wanamfuata?
Hivi Kangi Lugola yupo wapi siku hizi?
Usijali. Huo ndiyo mwendo wa Mi5 tena.Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.
Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.
Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;
Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.
Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.
Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.
Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.
Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?
The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!
Man oh man.
Sidhani kama iko hivyo. Hebu fikiria labda wewe ni konda wa daladala uko njiani kuelekea k/koo na huku umeteuliwa na huna taarifaUtendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.

Taasisi ya uteuzi ipo kazini masaa yote! Wanajiridhisha kwanza kabla ya kupeleka jina kwa muhidhinishaji wa uteuzi. Kujiridhisha huko kunajumuhisha utafiti juu ya afya ya mlengwa wa uteuzi! Kwa hiyo, mkuu kaa mkao wa kuteuliwa tena bila wasiwasi; hofu zako taasisi ilishazifanyia kazi na inazizingatia kwa umakini mkubwa.Mkuu vipi kama nina maradhi ambayo yatakwamisha utendaji kazi wangu na kudhoofisha/kuhatarisha afya/uhai wangu? Nikubali tu nisionekane haini halafu nizikwe two weeks later?
Kweli unorthodox. Kama Hitler wa Ujeremani enzi zile.Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.
Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜.
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.
Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;
Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.
Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.
Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.
Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.
Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?
The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!
Man oh man.
Kwa kiongozi mwenye vast network ya Intelligence gathering ya tabia na mapenzi ya kikazi ya watumishi anao fanya não sio kitu cha ajabu.Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli.
Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo [emoji12].
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi.
Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo;
Nimeangalia video fupi ya hotuba aliyoitoa Dkt. Bashiru mara baada ya kuapishwa kwenye hiyo nafasi yake mpya hapo jana.
Katika hotuba yake hiyo ambayo aliitoa bila kusoma, Dkt. Bashiru alisema kuwa jioni ya siku ile aliyoteuliwa, alikuwa yupo sehemu [nahisi labda alikuwa nyumbani kwake] akisoma mafaili ya kazi zake za ukatibu mkuu wa CCM, ndo eti akapata taarifa kupitia kwenye mitandao [ya kijamii] kwamba kateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi.
Huyu hapa Dkt. Bashiru kwa maneno yake mwenyewe:
Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 2:30 hadi 2:50.
Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.
Kwa akili zangu hizi za kidato cha 4, mimi huwa nadhani kuwa Rais kabla hajamteua mtu kushika wadhifa au nafasi flani, Rais huongea na huyo mtu kwanza ili kuona kama huyo mtu yuko tayari kuyabeba majukumu ya kazi atakayo kumpa, na kuhakikisha kwamba huyo mtu anaukubali uteuzi huo kabla ya umma kufahamishwa.
Sasa kama Dkt. Bashiru alizipata taarifa za uteuzi wake huo kupitia kwenye mitandao kama tulivyozipata sisi wengine, ina maana hakukuwepo na mawasiliano kati ya mamlaka ya uteuzi na mteuliwa.
Kama hivi ndivyo ilivyo kwa utendaji wa Rais Magufuli, basi daah, sijui nisemeje tu.
Utateuaje mtu, tena wa cheo kilicho nyeti, halafu mtu huyo aujulie uteuzi huo kupitia mtandaoni?
The guy is cocking a snook at just about everything, norms, traditions, common sense, comity, presidential comportment, you name it!
Man oh man.
Bahati nzuri ni kuwa sisi wengine tulishashika nafasi za uongozi katika taasisi ambazo chini yako kunakuwa na wafanyakazi kati ya 20 - 50 walio ktk idara mbalimbali za taasisi...Siyo lazima ukiteuliwa upewe taarifa. Hizo ni hisia zako. Narudia: siyo LAZIMA
Hii ndio style yake ya uteuzi. No wonder wakati mwingine anaingia chaka.Maneno hayo ya Bashiru yaliuvuta uangalifu wangu na kunifanya niwaze kidogo maana kama kumbukumbu yangu ni nzuri, hii si mara ya kwanza kwa mtu aliyeteuliwa na Rais Magufuli, kuujua uteuzi wake huo kupitia mitandao ya kijamii.