Kitakachoondoa mashaka ni Mo kuongea na vyombo vya habari na kujibu maswali. Kama hataongea itakuwa ngumu sanaKuna kutekwa na kujiteka!
Matajiri hutekwa, masikini kama Roma hujiteka!
Bora salamaNa gari lilitumika kumtekea, limepatikana likiwa limebadilishwa namba...Mambosasa ndio ametoa habari hiyoView attachment 904288View attachment 904298
hahahaHahahaha ushamba wa jiwe utamcost siku moja
Cover story hapa itakuwa ni nini ? Maana hata mtoto mdogo anajua Mo alichukuliwa na kina nani .
Halafu watu wa aina hii ndio wakakae meza Moja na kina Prof Thontorn wa Barrick tutegemee kulipwa na Accasia matrilioni ??
Tutakesha tukisiburia hilo
Tunasubiri Press conference ya Godbless Lema aliyotuahidi leo saa nne ili Ben Saanane pia apatikane!Aibu zimewashuka wanaCCM.
Hawez kueleza chochote kuhusu watekaji forget it kama unategemea mo ajitokeze kuzungmzia utekaji wake just sleepKitakachoondoa mashaka ni Mo kuongea na vyombo vya habari na kujibu maswali. Kama hataongea itakuwa ngumu sana
Kwa hiyo unaamini akina Roma walijiteka? Akina Ulimboka walijiteka?
Akina Ben walijiteka? Azory amejiteka?
Haya mambo mnayajua nyie sisi mbummbu tunawasikiliza. Jambo jema tunauwezo wa kusoma aeio, tunauwezo wa kusoma hadithi japo tunaweza tusilewe. Hata gazeti la uhuru tunasoma vichwa vya habari, ndiyo faida ya shule hasa sisi wa std VII