Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Kitakachoondoa mashaka ni Mo kuongea na vyombo vya habari na kujibu maswali. Kama hataongea itakuwa ngumu sanaKuna kutekwa na kujiteka!
Matajiri hutekwa, masikini kama Roma hujiteka!
Kila mmoja atakuwa na theory yake ambayo si lazima iwe sahihi au makosa
Kwa hiyo unaamini akina Roma walijiteka? Akina Ulimboka walijiteka?
Akina Ben walijiteka? Azory amejiteka?
Haya mambo mnayajua nyie sisi mbumbumbu tunawasikiliza.
Jambo jema tunauwezo wa kusoma aeio na hadithi japo tunaweza tusielewe.
Hata gazeti la uhuru tunasoma vichwa vya habari, ndiyo faida ya shule hasa sisi wa std VII