[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kasema walikuwa wanaongea Kilugha! Bila shaka aliongea nao kwa simu ama face to face!
Hivi kila anaeongea Kilugha ni Msouth Africa? Nipo hapa Kariakoo Shimoni, waluguru wanaongea full Kiluguru! Bila shaka hawa nao ni wa South Africa!
Sawa bwana ila Mungu akulipe kwa unayoyafanyaSirro ndio kawatisha kuwaonyesha wapo kwa mstari na wamejua yao..
Hongera kwa jeshi la Polisi
Jana Sirro alikuwa shujaaa na kawaonyesha ni moto moto na wametikisika haswaaa na kumuachia.
Unavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kumpata Mo saa tisa usiku nyumbani kwake?Cha msingi MO amerudi, mengine ni changamoto tu.
Tunavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuweza kupatikana kwa MO.
MO sasa azingatie ushauri alioutoa IGP.
Dunia imekuwa kijiji, Watanzania hawana shida, lakini kuna wageni hapa nchini.
Ni lazima atembee na walinzi wenye silaha.
Kama anaenda mahali ahakikishe kumekucha, na kuna watu na mazingira salama.
Inawezekana kutekwa kwake ni somo kwake, ajifunze sasa.
Aweke Jim ya mazoezi nyumbani.
Karibu Bosi wetu, endeleza mipango yako,
Watanzania wanakupenda sana, wamekulilia sana.
Jilinde sasa,
Nisalimie Shemeji.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Director wa hii movie kachemka sana,BASHITE wewe ni Zero brain huawezi kufanya jambo likawa halina mashaka,yaani mambo yako yote ni ya mashakamashaka hayapo straight,yanaacha maswali mengi kuliko majibu.Na gari lilitumika kumtekea, limepatikana likiwa limebadilishwa namba...Mambosasa ndio ametoa habari hiyoView attachment 904288View attachment 904298
Lakini unaakili wewe! Isije ikawa kuna vichaa humu!! Maana hueleweki haswaa.Hivi hapo umeandika nini haswaaa?
Naona wengi mmeumia kwa yeye kurudi mzima.
Mo hata bila kuwekeza Simba alishakuwa 'brand' kubwa! Ametambulika kama bilionea kijana baran Afrika kabla ya kuja huko! Hata hivyo sifa kwa Mungu wetu kwa kuwa kaka yetu amepatikana salama!Brother Mo, kama unanisoma ni hivi
ULIFANYA LA MAANA SANA KUWEKEZA KWENYE SIMBA SPORTS CLUB, WANASIMBA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYAO TULIKUWA NYUMA YAKO.
Na laiti usingekuwa mmiliki wa Simba, Watu wasingekujua, Wasingefuatilia kutekwa kwako, Wasingepaza sauti waliyopaza!. Yaani nakueleza wazi brother Mo, Kwa mara ya Kwanza wale jamaa hatukwaelewa kabisaaa Stori na Matango Pori waliyotulisha!
SIMBA NGUVU MOJA!!!
hahaa jana tuliambiwa watekaji walikimbilia kawe "... so wameamua kumtoa Mo kawe mpaka Gymkhana na kumtelekeza hapo ....!!?
simply logic tu " jamaa alikuwa amefichwa na muhusika mkuu wa jumba jeupe la magogoni
Watekaji watakuwa ni makaburu wanataka kumdhoofisha tajiri wa Africa!Mambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili
IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji
Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini
Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha
Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda
Kama ransom yenyewe ni zile Trilion mbili na Asset za Mo kama vile ardhi n.k, ngoja tuwasubiri Forbes wamtoe katika listi ya Mabilionea wanaoongoza Afrika, tutajua zaidi.
Ila kama "wasiojulikana" wamechukua kale kabilion kamoja ka Familia ya Mo hiyo siyo Ransom ni pipi tu!
WAKUU
huo mstar wa mwisho anaosema 'Na shukuru mamlaka zote ikiwemo na jeshi la polisi kuhakikisha narudi salama' Mmeuelewa au mnarukaruka tu? Kuna ka ujumbe hapo,
povu jengine.. narudia wewe mshamba huna unalolijua.. sisi tupo kwenye mfumo wewe endelea kusubiria tweeter za Lemotuz kichwa maji mwenzioHAHAHAHA
MWANA MLAAAANIWA WALAHI
USA JAMAL KHASHOGGI YUKO KOONI, hana mpango na wewe imbecile uwiii!
Vijana wamatukio mmedoda walahi
Karudi mzima toka wapi hebu fafanua tujue wapi alipokwenda.
Ni katikati ya mji kabisaMimi sina uenyeji na jiji la joto ebu nijulisheni hapo MO alipotupwa ni mbali na mjini au ni nje kidogo kama ni mjini means hawa watekaji wanazurura tu mjini daslaam mjini bila tatizo