Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mtoa mada
Acha kua kichwa maji

Ushaambiwa kua ni Wazungu wawili wa Msumbiji ndio walomteka MOO.

Na gari ilotumika ishaonyeshwa, kua ilinaswa na CCTV.

Kua na amani,nchi yetu iko salama sana.

Bila shaka,
Jeshi letu tiifu litawafikisha mahakamani watekaji hivi punde.
 
povu jengine.. narudia wewe mshamba huna unalolijua.. sisi tupo kwenye mfumo wewe endelea kusubiria tweeter za Lemotuz kichwa maji mwenzio
 
Kasema walikuwa wanaongea Kilugha! Bila shaka aliongea nao kwa simu ama face to face!

Hivi kila anaeongea Kilugha ni Msouth Africa? Nipo hapa Kariakoo Shimoni, waluguru wanaongea full Kiluguru! Bila shaka hawa nao ni wa South Africa!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mimi pia nitakuwa msauzi maana naongea kilugha
 
Sirro ndio kawatisha kuwaonyesha wapo kwa mstari na wamejua yao..

Hongera kwa jeshi la Polisi
Jana Sirro alikuwa shujaaa na kawaonyesha ni moto moto na wametikisika haswaaa na kumuachia.
Sawa bwana ila Mungu akulipe kwa unayoyafanya
 
Cha msingi MO amerudi, mengine ni changamoto tu.
Tunavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuweza kupatikana kwa MO.
MO sasa azingatie ushauri alioutoa IGP.
Dunia imekuwa kijiji, Watanzania hawana shida, lakini kuna wageni hapa nchini.
Ni lazima atembee na walinzi wenye silaha.
Kama anaenda mahali ahakikishe kumekucha, na kuna watu na mazingira salama.
Inawezekana kutekwa kwake ni somo kwake, ajifunze sasa.
Aweke Jim ya mazoezi nyumbani.
Karibu Bosi wetu, endeleza mipango yako,
Watanzania wanakupenda sana, wamekulilia sana.
Jilinde sasa,
Nisalimie Shemeji.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unavishukuru vyombo vya ulinzi na usalama kwa kumpata Mo saa tisa usiku nyumbani kwake?
Hivyo vyombo vya ulinzi na usalama unavyovishukuru vimefanya operesheni gani iliyomrudisha Mo?
Au sijakuelewa? Una maana unavishukuru hivyo vyombo vya ulinzi na usalama kwa kumchukua na kumrudisha salama?
 
Na gari lilitumika kumtekea, limepatikana likiwa limebadilishwa namba...Mambosasa ndio ametoa habari hiyoView attachment 904288View attachment 904298
Director wa hii movie kachemka sana,BASHITE wewe ni Zero brain huawezi kufanya jambo likawa halina mashaka,yaani mambo yako yote ni ya mashakamashaka hayapo straight,yanaacha maswali mengi kuliko majibu.
 
Kwelu wabongo safari hii hawakukubali ufala yani pamoja na biti la yule Waziri lakini watu walikaza kamba kwaio jiwe akaona aisee ngoja nimuachie maans akicheki huku kaharibu Acacia akina Mwanyika hawana kesi, huku kumebuma watu wanasiliba bila uoga na kupigilia msumari sirikali dhaifu zaidi ya dhaifu yenyewe
 
Brother Mo, kama unanisoma ni hivi

ULIFANYA LA MAANA SANA KUWEKEZA KWENYE SIMBA SPORTS CLUB, WANASIMBA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYAO TULIKUWA NYUMA YAKO.

Na laiti usingekuwa mmiliki wa Simba, Watu wasingekujua, Wasingefuatilia kutekwa kwako, Wasingepaza sauti waliyopaza!. Yaani nakueleza wazi brother Mo, Kwa mara ya Kwanza wale jamaa hatukwaelewa kabisaaa Stori na Matango Pori waliyotulisha!

SIMBA NGUVU MOJA!!!
Mo hata bila kuwekeza Simba alishakuwa 'brand' kubwa! Ametambulika kama bilionea kijana baran Afrika kabla ya kuja huko! Hata hivyo sifa kwa Mungu wetu kwa kuwa kaka yetu amepatikana salama!
 
hahaa jana tuliambiwa watekaji walikimbilia kawe "... so wameamua kumtoa Mo kawe mpaka Gymkhana na kumtelekeza hapo ....!!?

simply logic tu " jamaa alikuwa amefichwa na muhusika mkuu wa jumba jeupe la magogoni


Huyu Magufuli atakuja kupata aibu tu, hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Mambosasa: Taarifa siku ya tukio,waliomteka Mo ni wazungu wawili

IGP: waliomteka Mo walikuwa na gari la nchi jirani ila hakulitaja,ila wataalamu wa kufuatilia lile gari walisema ni la Msumbiji

Mo amepatikana Dar es salaam lakin si Msumbiji, wala Afrika Kusini


Baada ya kupatikana:Mambosasa: waliomteka Mo walikuwa wasouth Afrika ,walikuwa wanaongea kilugha

Unaweza ukajiuliza maswali hapa ,kichwa kikaota upara bila kupenda
Watekaji watakuwa ni makaburu wanataka kumdhoofisha tajiri wa Africa!
 
Mimi hii story ya ransom ya trillion 2 huwa hainiingii akilini kwasababu kwanza mtu hawezi akawa na utajiri wa trilioni 3 ikiwa ni assets na miradi halafu mtu huyo huyo awe na cash trillion 2.

Pili hakuna mtekaji mwenye uwezo wa kudemand kiasi chote hicho cha pesa kwasababu kwanza trillion 2 inabebwaje na wao wakisha pewa wataibebaje na wataitumiaje wasigundulike kwasababu kama MO anautajiri wa trilioni 3 na yupo kwenye top 30 ya matajiri Afrika, inamaana huyo mtekaji nae atatakiwa naye atajwe kwenye forbs akishazimiliki.

Pia naomba wataalam wa mambo ya fedha watusaidie, sidhani kama Tanzania kuna mtu binafsi anamiliki cash trillion moja. Na hakuna bank binafsi zenye mtaji wa trilioni 2 hata kama familia ya MO ingekubali kutoa.

Ransom ya kuanzia billion 100 kushuka chini mimi nakubali inaweza kuwa demanded tena iwe in terms of US# kwasababu ikiwa in Tshs flow ya hizo hela mtaani itasumbua.

Mambo ya trillion mbili ni uzushi mkubwa.
Kama ransom yenyewe ni zile Trilion mbili na Asset za Mo kama vile ardhi n.k, ngoja tuwasubiri Forbes wamtoe katika listi ya Mabilionea wanaoongoza Afrika, tutajua zaidi.

Ila kama "wasiojulikana" wamechukua kale kabilion kamoja ka Familia ya Mo hiyo siyo Ransom ni pipi tu!
 
WAKUU
huo mstar wa mwisho anaosema 'Na shukuru mamlaka zote ikiwemo na jeshi la polisi kuhakikisha narudi salama' Mmeuelewa au mnarukaruka tu? Kuna ka ujumbe hapo,

You are very smart. I wish more people read between the lines na kuhoji wanachosoma. Kwa kuwa walikuwa wakimshikilia - anatambua wangeweza kumpoteza kama wengine walivopotezwa. Anashukuru kuwa wameamua kumrejesha salama.
 
HAHAHAHA
MWANA MLAAAANIWA WALAHI
USA JAMAL KHASHOGGI YUKO KOONI, hana mpango na wewe imbecile uwiii!
Vijana wamatukio mmedoda walahi
povu jengine.. narudia wewe mshamba huna unalolijua.. sisi tupo kwenye mfumo wewe endelea kusubiria tweeter za Lemotuz kichwa maji mwenzio
 
Welcome back Mo

Nadhani ulikuwa ukiishi katika siku 8/9 ngumu katika maisha yako

All in all, ashukuriwe Mungu
 
Mimi sina uenyeji na jiji la joto ebu nijulisheni hapo MO alipotupwa ni mbali na mjini au ni nje kidogo kama ni mjini means hawa watekaji wanazurura tu mjini daslaam mjini bila tatizo
Ni katikati ya mji kabisa
 
Back
Top Bottom