THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Ndugu yangu ufia chama na serikali usikutoe utu na roho ya kibinadamu.HAHAHAHA
MWANA MLAAAANIWA WALAHI
USA JAMAL KHASHOGGI YUKO KOONI, hana mpango na wewe imbecile uwiii!
Vijana wamatukio mmedoda walahi
Aliyemchukua hapo na kumpeleka nyumbani kwake ndiye atachukua bilioni 1Aisee kaachiwa usiku wa manane. Watu wana hila walitaka makusudi tukose hiyo bilioni moja
Huyo ni zero brain, ni wa kumuacha tuSasa hujaelewa nn hapo....?Tunaumia kuona watu wanatekwa,wanarudushwa watekaji hawapatikani kamwe...why???
Upepo ungevuma labda kama ben saa8 au. Azory hali ingekuwa tofauti lakin kwa upepo wa huyu bwana naona wameona hapana hali haito kuwa shwari hata kidogo.upepo uliwavumia vibaya sana
Kuweni waerevu basi,hizo ni taarifa alizopewa na Mohammed mwenyewe kwamba hao watu walomteka walikuwa wanaongea kilugha cha kisouthKasema walikuwa wanaongea Kilugha! Bila shaka aliongea nao kwa simu ama face to face!
Hivi kila anaeongea Kilugha ni Msouth Africa? Nipo hapa Kariakoo Shimoni, waluguru wanaongea full Kiluguru! Bila shaka hawa nao ni wa South Africa!
Vitendo vyao vya kitoto hawajui vinaathiri uchumi wetu,vyuma vimekaza na bado na michezo yao ya kipuuzi vinazidi kuzidisha ugumu,hawajui kwa sababu wao wanakula bure kwa kodi zetu,waje mitaani waone tunavyoteseka kutafuta buku ya kula hata mlo m1,Bashite,Jiwe na AIJIPI ZIRO mnawaumiza waTZ.Wakati mwingine tuache kumsingizia Mungu.. eti Mungu mwema
Upuuzi wa bashite na kundi lake ndio tumuingize Mungu???
Mo anayo siri nzito sana mtoa taarifa anaongea kwa mashaka kwa kutetemeka maana anatambua ni uongo mtupu
Mambosasa ipo siku utatamani kumuita Mungu naye hatakuitikia. Ninyi watu mnawatesa sana WaTz
Ipo siku tena yaja upesi