Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

HAHAHAHA
MWANA MLAAAANIWA WALAHI
USA JAMAL KHASHOGGI YUKO KOONI, hana mpango na wewe imbecile uwiii!
Vijana wamatukio mmedoda walahi
Ndugu yangu ufia chama na serikali usikutoe utu na roho ya kibinadamu.

Ebu jiweke nafasi ya mke ama mwanafamilia wa MO katika kipindi alichotekwa walikuwa na hali gani?

Ebu jaribu kuwa na utu na ubinadamu kidogo.
 
Polisi bora mngebaki na hekaya hiyo hiyo ametupwa JIMKANA ila mlivyongezea amerudishwa na gari lile lile ndio mmezidi kuharibu,GYMKHANA kuna ulinzi wa kutosha pale na kuna Temporary kituo cha polisi inakuwaje TOYOTA SURF yenye WATEKAJI WAZUNGU WANAONGEA KIZULU wapite bila kusimamishwa? Hiyo TOYOTA SURF IMEPITA Hapo hapo kituo cha SALENDA? Au ilipita WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWENDA GYMKHANA?
 
Wanaume wa Dar kama kawa , wameikosa 1b asee. Si huwa mnajisifu kuwa hamlali huko sasa mmeshindwa nini kumuona Mo sa9 mkampeleka kwake hadi ameenda mwenyewe kutoka hapo walipomtelekeza?
 
Thank you God Mo is back, ila vp kuhusu wale wengine Saananr, Azory n. k

Ila tusitarajie jipya lolote kutoka kwake zaidi ya kuwashukuru polisi, hii ni kawaida wala siyo kosa lake, na bora tu akae kimya afuate maagizo yao.

Ukweli wa mambo yote utajulikana wote siku moja inshallah uongozi uliopo ukiondoka madarakani.
 
Mimi Nilifikiri Vyombo Vya Ulinzi na Usalama Ndiyo Vilivyofanikiwa Kumpata Kutoka Kwa Watekaji, Kumbe Wamemuokota?

Yani mpaka Watekaji Wameamua Kumuachia wenyewe halafu wanajitapa Kuwa "Eti Wamefanikiwa Kumpata"...

Si waseme tu Kuwa " Wamefanikiwa Kumuokota"
 
Kasema walikuwa wanaongea Kilugha! Bila shaka aliongea nao kwa simu ama face to face!

Hivi kila anaeongea Kilugha ni Msouth Africa? Nipo hapa Kariakoo Shimoni, waluguru wanaongea full Kiluguru! Bila shaka hawa nao ni wa South Africa!
Kuweni waerevu basi,hizo ni taarifa alizopewa na Mohammed mwenyewe kwamba hao watu walomteka walikuwa wanaongea kilugha cha kisouth
 
Ngarawa isingevuka nahodha akasema isiwe tabu. Ngoja tughari safari
 
Wakati mwingine tuache kumsingizia Mungu.. eti Mungu mwema
Upuuzi wa bashite na kundi lake ndio tumuingize Mungu???
Mo anayo siri nzito sana mtoa taarifa anaongea kwa mashaka kwa kutetemeka maana anatambua ni uongo mtupu
Mambosasa ipo siku utatamani kumuita Mungu naye hatakuitikia. Ninyi watu mnawatesa sana WaTz
Ipo siku tena yaja upesi
Vitendo vyao vya kitoto hawajui vinaathiri uchumi wetu,vyuma vimekaza na bado na michezo yao ya kipuuzi vinazidi kuzidisha ugumu,hawajui kwa sababu wao wanakula bure kwa kodi zetu,waje mitaani waone tunavyoteseka kutafuta buku ya kula hata mlo m1,Bashite,Jiwe na AIJIPI ZIRO mnawaumiza waTZ.
 
Back
Top Bottom