Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Hao hawawezi eleza ukweli bali watafunikafunika tu.
Kila mwananchi anawajibika kwanza kwa uma wa watanzania. Polisi walipaswa kukaa naye kwa muda na kumhoji kwa undani na kutupatia taarifa kamili. Kama polisi wamemwambia apumzike nyumbani kisha aendelee na majukumu yake ya kawaida, basi angalau awajibike kutupa sisi wananchi mrejesho.
 
Mlipeleka taarifa?
 
Toyota surf iliyomrudisha MO, tofauti na iliyomteka au? Mbona surf ya picha ya Siro tofauti na hii ambayo imezungushiwa mkanda leo
 
Wajinga katika ubora wao. Ngoja waje kumwaga pumba zao!
 
Hizi.siasa unazozitaka familia ile hazina hizo harakati na wamempata mtoto wao basi ila ukitaka hizo harakati zenu kafanyie pale ufipa kwenu kwenye ile grocery yenu
 
ccm ni genge la uhalifu. kwao uhai wa raia sio suala la msingi ndo maana waziri wao alipiga marufuku watu kujadili suala la kutekwa mo kinyume na katiba ya nchi...
 
Hizi.siasa unazozitaka familia ile hazina hizo harakati na wamempata mtoto wao basi ila ukitaka hizo harakati zenu kafanyie pale ufipa kwenu kwenye ile grocery yenu
Sawa mkuu. kwa hiyo ameshapatikana BASI. Kila mtu asambaratike?
 
Dhuu sasa hapo gymkana alitokaje hapo na alifikaje home kwake. Je alitembea kwa mguu hadi home au police ndo walomuokota.
 
Wazee wa matukio ndo mpate agenda za kuongelea,hamuishi vituko!
 
Utulivu nao ni busara. Kwanini hizo kelele za upinzani hazijamsaidia Saa 8. Au ni kweli hiyo kazi ni ya ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…