Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,185
- 8,294
Kwani unadhani karudi mwenyewe toka alikofichwa.....jeshi "limepambana" juu chini kumrudisha.wamemrudishaje wakati wao wameambiwa mo yupo hom anaongea na familia yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unadhani karudi mwenyewe toka alikofichwa.....jeshi "limepambana" juu chini kumrudisha.wamemrudishaje wakati wao wameambiwa mo yupo hom anaongea na familia yake
Kila mwananchi anawajibika kwanza kwa uma wa watanzania. Polisi walipaswa kukaa naye kwa muda na kumhoji kwa undani na kutupatia taarifa kamili. Kama polisi wamemwambia apumzike nyumbani kisha aendelee na majukumu yake ya kawaida, basi angalau awajibike kutupa sisi wananchi mrejesho.Hao hawawezi eleza ukweli bali watafunikafunika tu.
Mlipeleka taarifa?Ni imani yangu kuwa mpaka sasa familia imeshapoa na kujua angalau kwa juu juu kilichomsibu mtoto wao. Ikumbukwe kuwa familia iliitisha press conference na kuutaarifu uma kuhusu tukio la kupotea kwa Mo. Pia ilitoa ahadi ya tuzo (baunty) kwa atakayefanikisha kupatikana mtoto wao.
Ni maoni yangu kuwa familia ingeitisha PRESS CONFERENCE kuutaarifu uma kuhusu kupatikana kwa Mo. Pia ijibu angalau maswali machache ili kuondoa kelele zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Wana wajibu wa kuwaeleza watanzania ukweli wa haya mambo kwa faida yao na ya jamii kwa ujumla.
Nawasilisha
Anadhani hao makaburu wenye nchi ni weusi kwa sababu ya jina la nchi..Mdau kwa ilimu yakp unaamini hakuna wazungu wazawa wa SA.
Wajinga katika ubora wao. Ngoja waje kumwaga pumba zao!Tangu kutekwa kwa Mo Dewji, ni wapinzani kwa kushirikiana na watanzania wengine ndio waliokuwa wamesimama mstari wa mbele kupaza sauti kutaka MO apatikane huku watu wa upande fulani karibu wote wakiwa kimya zaidi ya ku-tweeet tu kusikitishwa na tukio hilo.
Mnaoshabikia upinzani ufe tukio hili liwafumbue macho na mjiulize ingekuwaje kama wote tungekuwa wa chama kimoja kama mnavyotaka.
Waliobuni mfumo wa vyama vingi hawakuwa wajinga hivyo na nyinyi mnaotaka turudi katika huo mfumo muache kuwa wajinga.
MO is intelligent, ametumia body language kutufikishia ujumbe, hakuna mashaka tena juu ya kina nani walomteka(walimuhifadhi).Body language ya Mo inasema kila kitu, Jamaa hawaangalii usoni wakat wa kuwapa mkono hii ni kitu kikubwa sana na meseji nzito mno. Nimeekuelewa Mo.
Hizi.siasa unazozitaka familia ile hazina hizo harakati na wamempata mtoto wao basi ila ukitaka hizo harakati zenu kafanyie pale ufipa kwenu kwenye ile grocery yenuNi imani yangu kuwa mpaka sasa familia imeshapoa na kujua angalau kwa juu juu kilichomsibu mtoto wao. Ikumbukwe kuwa familia iliitisha press conference na kuutaarifu uma kuhusu tukio la kupotea kwa Mo. Pia ilitoa ahadi ya tuzo (baunty) kwa atakayefanikisha kupatikana mtoto wao.
Ni maoni yangu kuwa familia ingeitisha PRESS CONFERENCE kuutaarifu uma kuhusu kupatikana kwa Mo. Pia ijibu angalau maswali machache ili kuondoa kelele zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii. Wana wajibu wa kuwaeleza watanzania ukweli wa haya mambo kwa faida yao na ya jamii kwa ujumla.
Nawasilisha
Waliokuwa nazo walipeleka. mimi hapa nipo mbali kidogo.Mlipeleka taarifa?
Sawa mkuu. kwa hiyo ameshapatikana BASI. Kila mtu asambaratike?Hizi.siasa unazozitaka familia ile hazina hizo harakati na wamempata mtoto wao basi ila ukitaka hizo harakati zenu kafanyie pale ufipa kwenu kwenye ile grocery yenu
Ndo alietoa kibali aachiwe mara mojaaKauli ya kumshukuru tu mheshimiwa rais mm ndo inanipa shida sana aisee,
Kwann amshukuru rais? Wakati watekaji walimchukua na wamemwachia bila nguvu yeyote kutumika
Shukrani kwa raisi ni za nn hasa?
Utulivu nao ni busara. Kwanini hizo kelele za upinzani hazijamsaidia Saa 8. Au ni kweli hiyo kazi ni ya ndani!Tangu kutekwa kwa Mo Dewji, ni wapinzani kwa kushirikiana na watanzania wengine ndio waliokuwa wamesimama mstari wa mbele kupaza sauti kutaka MO apatikane huku watu wa upande fulani karibu wote wakiwa kimya zaidi ya ku-tweeet tu kusikitishwa na tukio hilo.