Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Ni vema kurudi salama! Lakini ili ni kosa kubwa sana kwa watekaji!
 
Ransom labda bilioni tano hivi, haiwezi kuwa zaidi ya hapo
 
Brother Mo, kama unanisoma ni hivi

ULIFANYA LA MAANA SANA KUWEKEZA KWENYE SIMBA SPORTS CLUB, WANASIMBA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYAO TULIKUWA NYUMA YAKO.

Na laiti usingekuwa mmiliki wa Simba, Watu wasingekujua, Wasingefuatilia kutekwa kwako, Wasingepaza sauti waliyopaza!. Yaani nakueleza wazi brother Mo, Kwa mara ya Kwanza wale jamaa hatukwaelewa kabisaaa Stori na Matango Pori waliyotulisha!

SIMBA NGUVU MOJA!!!
 
Hivi huyu waziri alivyotekwa tu alikuwa wa kwanza kutuambia kaongea na babake, leo usiku huu ni yeye kawa wa kwanza kutuambia kaongea nae! Mo hakuwa kwa mjomba wake ati yuko nyumbani kwake salama! Alitakiwa awe kituo cha police kuisaidia maelezo, then hosipitali then jeshi lireport yuko salama. Huwezi kutoweka, au kotoweshwa then ukarudi au kurudishwa nyumbani ikaishia hapo. Ngoja kukuche.
 
cha kushukuru ni kwamba mzee baba karudi salama ila hapo anaposema anashukuru polisi kwa kufanikisha kurudi salama im sure hata yeye nafsi yake ilikua inasema usiandike ila ndo bas tena watekaji wameshinikiza awape credit
 
Mbona Bahresa na Mengi hawajawekeza Simba lakini wanajulikana?
 
basi na nansi alipatia kuwa timu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…