Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Niliona jana kuwa ana katisha Press leo saa nne asubuhi ataenda ongea nini kwani! hahaha eti Lema kafanikisha kupatikana! kwani aliongea nini hasa?!!!!
 
Hongera jeshi la polisi.
Jeshi la Polisi lipewe hongera ya nini? Kwani wamewakamata watekaji, kwani wametueleza sababu za kutekwa kwake, kwani wametueleza watekaji walikuwa akina nani? Kwani wametueleza alifichwa wapi..? Kwa hili wakupewa hongera ni watekaji kwa kumuachia huru MO bila ya kumzuru sio Jeshi la Polisi
 
Niliona jana kuwa ana katisha Press leo saa nne asubuhi ataenda ongea nini kwani! hahaha eti Lema kafanikisha kupatikana! kwani aliongea nini hasa?!!!!

Kibuyu yule Achana naye walahi
FYEEEKELEA MBALI WALAHI
 
Hebu subir hapo hapo alipiga simu! Kwa hiyo walimpa na simu apige au alipata simu kwa msamaria mwema? Sasa huyo aliyempa simu ndo ana claim hiyo Billion au? Pia hilo gari lilimtokea walisema lishavuka mpaka! Tena leo tunaliona! Hawa wanatuona mazwazwa kabisa, haya tuleteeni hiyo cctv shootage maana jana mzee wa sisitiv alijaribu kuficha pic la gari lkn bado watu wakamzidi akili! Na ndo maana hawakusema rangi ya gari wala habari ya noah hawataki tusikie!

All in all nina furaha tajir karudi sasa kifuatacho ni kuwa zakaria tuu maana washa turuhusu kumiliki silaha.
 
Wamgawie kidogo na kamanda Lema wa Ufipa maana aliifuatilia sana hiyo 1b!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…