Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Truly spoken!Baada ya press ya Ziro ku-backfire wameamua wamuachie..
Ila sidhani kama ataweza kusema yaliyomkuta, yatakuwa kama yale ya Roma.
Hizi kelele mpaka leo hazijamleta Saa nane, sasa naamini hii ni inside job!Na majinga yanaunga mkono bila kujua athari yake.
Jeshi la Polisi lipewe hongera ya nini? Kwani wamewakamata watekaji, kwani wametueleza sababu za kutekwa kwake, kwani wametueleza watekaji walikuwa akina nani? Kwani wametueleza alifichwa wapi..? Kwa hili wakupewa hongera ni watekaji kwa kumuachia huru MO bila ya kumzuru sio Jeshi la PolisiHongera jeshi la polisi.
KWA HIYO UPINZANI NI PRIVATE? THIS IS THE SO CALLED SHEER MENTAL DIARRHOEAMo kapatikana kwa shinikizo la public cry, upinzani hawana mchango kabisa katika hili
Niliona jana kuwa ana katisha Press leo saa nne asubuhi ataenda ongea nini kwani! hahaha eti Lema kafanikisha kupatikana! kwani aliongea nini hasa?!!!!
Ulimfundisha nani? Ebu angalia unavyopata tabu na uandishi wako hapo juu.Nilifundisha mwafrica ni mtu aliye zaliwa Africa Na kukulia tamaduni za kiafrica Na mwenye asili ya kiafrica sasa anakuwaje mzungu
Wamgawie kidogo na kamanda Lema wa Ufipa maana aliifuatilia sana hiyo 1b!Wanabodi,
Hii ni thread ya swali, nikipendekeza kwa kuuliza, maana siku hizi, ukiuliza kitu,, watu hawaonagi alama za kuuliza, wakadhani nimetoa statement.
Baada ya Mo kupatikana, baada ya juhudi kubwa sana za jeshi letu la polisi, baada ya ile ahadi ya motivation iliyopelekea hadi IGP kufanya press conference ya jana, hii imethibitisha kuwa kumbe Jeshi letu la polisi, likiamua linaweza, wala simaanishi limeweza kwa ajili ya Ile ahadi ya motivation ya familia, bali limeweza kwa sababu, sasa ndio limepata uwezo huo, na limeonyasha uwezo huo kwa Mo kupatikana akiwa mzima, salama uu salmini na bukheri wa Afya.
Sasa kwa vile familia tayari iliishatenga shilingi billion moja kwa atayefanikisha kupatikana kwa Mo, na waliofanikisha ni IGP Kamanda Sirro, na vijana wake, kwa ile Press Conference muhimu ya jana. Mimi Napendekeza hizo pesa apewe Kamanda Sirro na vijana wake, ili zitumike kuboresha jeshi letu la polisi nchini kwa kulijengea uwezo kuzuia matukio ya utekaji, kwa kuwa motivate, siku zote, mtu yoyote akitekwa au kushambuliwa na wasiojulikana, juhudi kama hizi za kumsaka MO, ikiwemo kuitisha press conference, zifanyike. Tena laiti kama tungelijua kabla namna ya kuwa motivate polisi wetu watimize wajibu wao, usikute hata Ben Saanane alipotoweka, tungejichanga tukatangaza dau, angepatikana,
Aliposhambuliwa Lissu, tungejichanga tukatangaza dau, wasiojulikana wale, wangepatikana, na alipopotea Azori Gwanda, sisi media tungejichanga tukatangaza dau, angepatikana, huwezi jua!, Bilioni moja jameni sii mchezo!.
Zamani tulizoea ahadi za motivation ni kwenye kutafutia kura tuu, lakini sasa, hata katika kutimiza wajibu.
Mungu Mkubwa, Pesa ndio kila kitu!, Masikini Ben Saanane, masikini Azori Gwanda
Jumamosi Njema
P.
Ni kweli.Tusubiri picha jingine sasa hili limeisha...
Bavicha mmekasirika sana Mo kupatikana. Nawaonea huruma wiki hii hamna tukio la kudandia.Nyie mmeshashindikana kwa ujinga.
Bado kidogo mtasema alitekwa na hao Chadema.
Chadema wamechukizwa mno na kupatikana kwa Mo maana kiki yao imebuna.
Shida na Matatizo yanayoipata Tanzania ndiyo ufahari wa Chadema!
Well saidMdau kwa ilimu yakp unaamini hakuna wazungu wazawa wa SA.