Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Baada wadau kuhoji ile gari na picha zake za magumashi, wakaona wamebugi, itakuwa aibu kwa jeshi la police, bora wamuachie tu...

Alhamdullah Mo
Ile 1 bilioni tupatie japo vocha ya mb please
 
mleta maada anataka MUONE kuwa kaishukuru CCM
naona L7 bado mpo macho ngoja pakuche tuone Yule slip pay atasemaje naye
 
Hatupati hata voucher
 
Akacheck na afya kabisa wasijemuwekea sumu
Wamebana wameachia, Jiwe siyo Mtu!.

Namshauri Mo asepe atulie zake huko Brunei au Kisiwa chochote cha Pasifiki ale bata miaka saba ipite kisha arudi tujenge nchi!, yeye bado kijana, kupumzika miaka saba siyo ishu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nipo na popcorn zangu hapa nasubir New episode
yaani hadi rahaaa MKUU
hakutatokea uongzoi kama huu wa matukio Nchi Tz
Nataka nitoe bonge la series nimepata idea ya season 1[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hio bilioni japo voucher tupate. ALHAMDULLAH KWA DUA ZETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…