Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Wameogopa kuumbuliwa na USA, walitaka kuingia mzigoni kupitia satellite kuwaumbua bushmen,kweli nimeamini ndumba upunguza uwezo wa kufikiri. Bushman always is a bushman
 
Nasema tena narudia, bila kelele za Mb. Mh. Lema, Mo Dewji asingelipatikana. Kelele za Lema zimesadia. Ile press ilikuwa na impact kubwa sana. Pia Zito alitweet kuwa Siro anajua alipo Mo. Press ya jana ya Siro na maswali yaliyoibuliwa na hotuba yake yameibua irresistible conclusion kuwa SIRO anajua alio Mo Dewji (by Zito Kabwe)
 
Kama kuna mtu mpaka mda huu hawajui waliomteka Mo basi nampa pole.
Yaani tungeafikiana tu na zile Ngonjera za kamanda Siro na picha zake za Tecno asingeachiwa huyu leo hii.
Nawashiwika kuamini kwamba Kamanda Siro pasipo kujijua amewaangusha sana wenzake jana.

All in all Mungu ni mkubwa kuliko wao na good thing ni kwamba Mo amerud na nguvu ya umma kwa mara kwanza imeheshimiwa.
Thanks to Zitto Kabwe na wengine waliowachapa za uso hawa manyang'au.
 
This is sweet news I've heard from beginning of this year so far.

God is good always.

#MOisBack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…