Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Kesho press ya Lema sijui kama itafanikiwa au watamuwahi kufanya press
 
Ndugu, unasema sina habari wala kitu cha ukweli lakini huachi kusoma habari zangu!

Huoni kuwa hoja yako inaonyesha hujui hata mantiki ya kile ulichokiandika?
 
cha kushangaza watanzania hawa unaowashukuru kukuombea na kupiga kelele uachiwe, hutawaambia aliyekuteka. na kesho mwingne yakimtokea ww utakaa kimya as if hukuwahi kupatwa na mkasa huo. yale yale ya roma mkatoliki
 
Sio simba ukiwekeza kwa watu watu ukuombea dua, na Mungu utenda
 
Hii inaonyesha familia wamelipa ransom!

Moja ya masharti ya ransom ni kutozungumza kuhusu tukio lote!?
Masharti hayo yanawekwa na nani? Mlipaji au anayedai? Hebu tuondelee ujinga wako hapa!

Kama atazungumza kuhusu yaliyomsibu mpaka akarudi basi hiyo itaonyesha kuwa hakulipa ransom.
Nani aliyewahi kuzungumza yaliyomsibu hapo kabla? Miongoni mwa wote waliowahi kufanyiwa umafia nchi hii, ni nani aliyewahi kuzungumza? Au hawakuzungumza kwa sababu walilipa ransom?
Hoja iliyopo mbele yetu kwa sasa, Je, kama amelipa ransom, nini kwa sasa nafasi ya matajiri nchini kuhusiana na usalama wao kwa sababu kulipa ransom ni kufungua mlango wa biashara ya kidnapping and ransom nchini.
Hiyo ni hoja yako na wana-Lumumba wenzako pamoja na genge lote la wahalifu kama wale ambao waliwahi hadi kuvamia studio! Hoja iliyo mbele ya wananchi ni je, baada ya kutoweka Ben Saanane na hatimae Mwandishi wa Mwananchi, kisha kutoweka kwa ROMA na baadae kuja kupatikana kabla hajatoweka Mo Dewji na kufuatiwa na drama za Kamanda Sirro; WHO'S NEXT! Usitake kuaminisha watu kwamba utekaji kwa sasa unalenga matajiri wakati utekaji nchi hii hivi sasa unaelekea kuwa ni jambo la kawida! WHO NEXT?
 
Jeshi limepiga kazi kwelikweli, asubuhi gari ya blue usiku karudi nyumbani. Hivi gari ya blue walimpa lift wakamshusha getini nini, nawaza tu.
 
Kuna MTU mzima na mkubwa katika nchi kila siku anatembea matako wazi mbele za watu,cha kushangaza hapandishi suruali.Ndio kwanza anaacha matako yaingie vumbi na matope.SHAME.
 


Ignored.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…