Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

Leo tena kulikuwa na press ya LEMA ( nadhani hii ndiyo iliyoogopwa zaidi).Cha kushukuru Mo amepatikana salama.
 
Ameachiwa Saa Tisa na dakika kumi na tano Usiku

Sawa tunashukuru kwa Mohamed kurudi salama lakini itabidi ubadilisheshe ID yako because you have exposed yourself in the excitement of the moment!!! Mambosasa anasema etI amerudushwa kwa gari ile ile iliyomteka; hao watekaji watakuwa wajinga kiasi gani kuwa watumie gari lile lile waliomteka nalo baada ya polisi kulitangaza kwenye vyombo vya habari? HAPANA SHAKA GENGE LA JIWE NA BASHITE WANAHUSIKA NA UHARAMIA HUU NA NDIO ASILI YA KUMLINDA ABAKI DAR!!!

Ukiangalia ile footage ya CCTV ya watu wa NJE utaona picha za wahusika ikiwemo ya yule aliyemtolea bastola Nape pale St. Peter's anaejulikana kufanya kazi na Bashite!! Utekaji huu hapa nchini unafanywa na kitengo maalum cha JIWE.
 
Ila hawa jamaa sio watu wazuri, billionaire amebadilika kama sio mboga saba alivyokonda.ila tunamshukuru mungu karudi salama,asante nguvu ya mitandao nayo imesaidia.siku zote nguvu ya umma haijawai shindwa.karibu tena uraiani.
 
Mungu ni mwema, karibu sana MO uraini.
Pole sana kwa yote yaliyokusibu, Poleni ndugu, jamaa, marafiki, wafanyakazi na mashabiki wa MO kwa kipindi chote.

Tuombe Mungu mambo mabaya kama haya yasijitokeze tena kwenye taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania
MANENO kuntu walahi
 
Siku ya Alhamis saa tatu sabh kuliitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Usalama kinachowahusisha wakuu wa vyombo vya a ulinzi wa JWTZ, TISS, polisi, Uhamiaji, n.k. Ule upuuzi alioongea IGP ndio wakuu hao walikubaliana IGP akaongee kuhusu Mo. Sasa ndugu Watanzania tupime IQ za wakuu hao ambao kwa nchi za wenzetu huwaoni hata kwenye vyombo vya habari seuzi hawa wa kwetu ambao kwa awamu hii wamekuwa wanasiasa.
Nasisitiza tunapoolekea kama taifa sio kuzuri hii awamu inatengeneza majipu ya chuki na visasi ambayo yakianza kutumbuka itakuwa hatari sana.
Magari mengi ya tiss na polisi yanatumia zile plate namba alizoonyesha IGP Ziro kama anaona yupo sahihi aweke hadharani footage nzima ya picha mnato za tukio lote. RPC alisema picha hazionyeshi IGP kaja na kapicha ka album wanadhani watanzania wajinga kama wao.
 
Hivi huyu waziri alivyotekwa tu alikuwa wa kwanza kutuambia kaongea na babake, leo usiku huu ni yeye kawa wa kwanza kutuambia kaongea nae! Mo hakuwa kwa mjomba wake ati yuko nyumbani kwake salama! Alitakiwa awe kituo cha police kuisaidia maelezo, then hosipitali then jeshi lireport yuko salama. Huwezi kutoweka, au kotoweshwa then ukarudi au kurudishwa nyumbani ikaishia hapo. Ngoja kukuche.
Ulilosema in jambo zito kabisa linalo ongeza maswali mazito
 
ila ukiwa na peisaa rahaa sana unatekwa unaulizwa unakula ninii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]sijuu na rom aliulizwa [emoji849][emoji849][emoji849]
 
Sasa watupumzishe na movie , wasituanzishie nyingine waache vichwa vipoe kwanza
 
wamemaliza mahojiano wamekubaliana nae kurejesha mashamba kama alivyofanya Manji wamemuachia..Hizi njia anazotumia Jiwe kuendesha nchi hazina tija
 
Back
Top Bottom