Mohamed Said alifungwa wakati wa Nyerere, asamehewa wakati wa Rais Samia

Kwahiyo Mohamed Said alikua anapiga tungi wakati dini inakataza.
 
naona mnamlaumu huyo mzee lakini ukweli anaujua mwenyewe.
Ila tu OMBA YASIKUKUTE
 
Kinacho nichanganya mimi ni kitendo cha kuibiwa silss ns kutumeka kwenye ujambazi ndani ya cku moja.
Na tukio lenyewe linaonyesha ni mipango ata ya cku kazaa..
Je hao majambazi walijua kuwa wataiba silaa cku iyo na kuenda kufanyia tukio!!!
 
Kama story hiyo ni ya kweli huyo mzee alikusudia yafuatayo:-
1. Kama alikuwa analinda na silaha ya serikali alishindwaje kuikabidhi? Alikuwa anaruhusiwa kwenda na silaha nyumbani. Hapa nadhani alikuwa ameseti ramani ya kuazima silaha akijua watairudisha kumbe walikuja kukamatwa. Ndo story za kuibiwa za kuibiwa silaha zikaanza.
2. Tuseme silaha yake ni binafsi mfano bastola. Kwa nini asingeiweka kiunoni? Kiashiria Cha kwamba alipanga/kula njama.
3. Kwenda chooni bila kukabidhi begi maana yake alishawaelekeza kwamba silaha itakuwa sehemu flani ndani ya begi.
4. Ukiyasoma maelezo vizuri ni kama alikuwa amesahau kama alikuwa na silaha na alikuja kukumbuka wakati anaaondoka.
 
Naamini hii habari haimfanyi Rais yule ni mbaya sana na huyu mzuri sana. Unaweza fungwa kipindi chochote kile cha uongozi.
 
Kinacho nichanganya mimi ni kitendo cha kuibiwa silss ns kutumeka kwenye ujambazi ndani ya cku moja.
Na tukio lenyewe linaonyesha ni mipango ata ya cku kazaa..
Je hao majambazi walijua kuwa wataiba silaa cku iyo na kuenda kufanyia tukio!!!
Zamani majambazi wengi walikuwa wanajeshi, Huenda alikuwa katika huo mpango.
 
Pole yake, kama analawama zozote basi awe wa kwanza kujilaumu kwa kutembea na silaha kama manati vile.
Ni kweli, tatizo alilitengeneza mwenyewe, matokeo ndiyo hayo yaliomkuta!
 
Hoja ya mtoa post ni kwamba akifungwa na mkristo kasamehewa na muislam.analeta udini
 
JUDGE NOT!!! Ila huyu ni jambazi tu kama majambazi mengine amshukuru mungu hakunyongwa, ila alishiriki kwenye mauaji na wizi wa kutumia nguvu...mie naona na yeye wangemnyonga tu maana aliua pia kwa kutumia silaha ya kazini.
 
Kwa atakayeguswa kumsaidia Mohamed Said anapatikana kwa 0654718896

Hii sentensi niliitegemea sana mwisho wa hii story..Bongo Daslaama!!
 
Adhabu ameshatumikia tayari lakini bado anaficha ukweli, halafu anasema alijiweka karibu na Mungu yupi huko jela?

Labda nyapara.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…