Mohamed Said ana siasa za kulialia

Nimekukumbusha hapo kuwa ww ulisem walio wengi wawatawale wachache, sasa nimekukumbusha kuwa idadi ni kigezo dhaifu kwa dunia ya sasa kutaka kukabidhi uongozi kwa kundi fulani ila elimu ya kundi husika hata kama ni wachache ila wataongoza tuu
 
Huyu Mzee hawezi kukujibu maswali mazito kama haya.
 
Huyu Mzee hawezi kukujibu maswali mazito kama haya.
Ajibu vipi tena ?? Inaelekea hivyo vyeti vyenu feki mlivyopewa kwenye shule za makanisa vinawapa shida. Hata kuingia kwenye blog mnashindwa kutafuta material
 
Sawa mzee wangu umenitajia majina yafuatayo kuwa nitayakuta nikisoma kitabu chako:

Ali Migeyo, Sued Kagasheki, Abdillah Rutabanzibwa (Bukoba), Dharura bint Abdulrahman na Nyange bint Chande (Tabora), Haruna Taratibu na Omar Suleiman (Dodoma), Salum Mpunga, Yusuf Chembera na mwalimu wao Sheikh Yusuf Badi (Lindi), Halima Selengia, Lucy Lameck, Mama bint Maalim na Amina Kinabo (Moshi), Sheikh Abdallah Rashid Sembe, Hamisi Kheri (Tanga) nk. nk.

Ninaweza kuwa sijasoma kitabu chako ila niko na wewe mwenyewe source of information, unaweza nijibu tu kwa kifupi. Kitu kingine nachokupinga mzee wangu ni kuwa rejea ya maswali yote ni wewe na wazee wako wa Dar hata kama haiusiani. Basi swali langu je hawa uliowataja ndio waliotoa uhuru wa Tanganyiaka? Usomi wako wa mashaka sana, unajiaminisha uongo na unauamini mwenyewe kabisa. Uhuru wa nchi hii haukupewa kwa waislamu wala wakristo. Kuna mchango wa watu mbalimbali, na machango wao wa kuthamini sana. .

Je leo hii historia mzee Sykes na familia yako inatukomboa vipi watanzania kwenye umasikini, uchumi, kiteknologia, kisiasa na kijamii? Hizi hoja zinamsaidia nini Muislam wa leo?
 
hebu tuambie kikomo cha elimu yako ni darasa la ngapi ?? Kuna kitabu chochote uliandika ili sisi wengine tuone kuwa Gily ni mtaalamu wa historia iliyokuwa haina wasiwasi hapa Tanzania ?? Tuweze kulinganisha na historia ya Sheikh Mohammed ?
 
Sawa mzee wangu umenitajia majina yafuatayo kuwa nitayakuta nikisoma kitabu chako:

Ali Migeyo, Sued Kagasheki, Abdillah Rutabanzibwa (Bukoba), Dharura bint Abdulrahman na Nyange bint Chande (Tabora), Haruna Taratibu na Omar Suleiman (Dodoma), Salum Mpunga, Yusuf Chembera na mwalimu wao Sheikh Yusuf Badi (Lindi), Halima Selengia, Lucy Lameck, Mama bint Maalim na Amina Kinabo (Moshi), Sheikh Abdallah Rashid Sembe, Hamisi Kheri (Tanga) nk. nk.

Ninaweza kuwa sijasoma kitabu chako ila niko na wewe mwenyewe source of information, unaweza nijibu tu kwa kifupi. Kitu kingine nachokupinga mzee wangu ni kuwa rejea ya maswali yote ni wewe na wazee wako wa Dar hata kama haiusiani. Basi swali langu je hawa uliowataja ndio waliotoa uhuru wa Tanganyiaka? Usomi wako wa mashaka sana, unajiaminisha uongo na unauamini mwenyewe kabisa. Uhuru wa nchi hii haukupewa kwa waislamu wala wakristo. Kuna mchango wa watu mbalimbali, na machango wao wa kuthamini sana. .
Huyu Mzee hawezi kukujibu maswali mazito kama haya.
Hawezi jibu kwa sababu hajajibu hata moja. Rejea yake ya maswali ambayo yapo current yote ni kuhusu vitabu ambavyo vinazungumzia historia ya wazee wa Dar. Leo hii inamsaidiaje Muislam na inamkomboa vipi kwenye maswala yake ya msingi. Fikra zake nyingi sio za kisomo za vijiwe vya kahawa. Unaweza enda mpaka states na wapi ila elimu isikukomboe hata kidogo kwa sababu kimsingi unaweza jificha kwenye mwamvuli wa kidini, huyu mzee anawaharibia sifa waislam. Waislam ni watu safi sana, hawezi kusema matambiko ya kiasili yalikuwa Dua, uislam hausapoti mambo kama hayo. .
 
Kwani uislamu una support mkristo kufunga ramadhani na yeye ni mkristo?
 
hebu tuambie kikomo cha elimu yako ni darasa la ngapi ?? Kuna kitabu chochote uliandika ili sisi wengine tuone kuwa Gily ni mtaalamu wa historia iliyokuwa haina wasiwasi hapa Tanzania ?? Tuweze kulinganisha na historia ya Sheikh Mohammed ?
Jikite kwenye hoja wewe hujibu maswali yangu zaidi ya kuaatach video. Je mbona kinachozungumziwa hakihusiani na video ila nikajibu mpaka video yako. Si bora mie sijajitungia historia ya uongo kuliko uandike kitabu ngano za kutunga, kwa sababu wenyewe washakufa au sio?

Again, vitabu haviwezi kuhusu historia ya watanganyika, sema visomeke historia ya waislamu na wazee wa DAR katika kudai uhuru. Kwa sababu hata Anglicans waliandika vitabu mchango wao katika kudai uhuru (Mbona hawakusema waliomba uhuru kwa kanisa):

Kwani uislamu una support mkristo kufunga ramadhani na yeye ni mkristo?
Tatizo lako wewe una maswali mazuri ambayo hayaendani na topic husika inayozungumzwa hapa

Nchi yetu ina uhuru wa kuabudu, haimzuii mtu kufunga na ni maamuzi ya mtu binafsi. Hayaathiri nchi au amani ya nchi yetu, leo hii ingekuwa basi kufunga kunamuaathiri dini za wengine hapo kungekuwa na shida. Wakristo wanafunga Kwaresma haimuathiri muislam na wala Ramadan haimuathiri mkristo, sijui mantiki ya swali lako ni ipi?

Nimemuliza mzee Said: Mzee Said anajua kabisa kuwa harakati za uhuru hazikuanza na wazee wa Dar, kuna vita nyingi zilipigwa na kuna viongozi na watanganyika wengi walikufa katika kudai uhuru. Je Mkwawa alikuwa muislam? Je vita ya maji maji ilipigwa na waislam? Mtemi isike alipigana vita kujikomboa alikuwa muislam? BABU ZAKO WALIPIGANA NA NANI (UKIACHANA KWENDA BURMA HUKU) TANGANYIKA KUDAI HUO UHURU?

Basi tuseme kuna yeyote alimtuma Nyerere kudai uhuru wa Tanganyika kwa waislam? Hapo ndipo shida inaanza tu. Mwl alipita kuomba viongozi kila mkoa ili wamsupport anapoenda kudai uhuru wa Tanganyika. Sasa hawa wazee wote Tanzania waliomsupport walikuwa waislam. Mbona maswali maraisi sana ila unayafanya kama huyaoni?
 
Unataka kuniambia Watawala wa nchi ni Anglicans, waingereza , halafu waanglikana wadai kuwaondoa waanglikana ??
 
Uliandika, in red ink

Waislam ni watu safi sana, hawezi kusema matambiko ya kiasili yalikuwa Dua, uislam hausapoti mambo kama hayo. .

Swali langu nimekuuliza

Kwani uislamu una support mkristo kufunga ramadhani na yeye ni mkristo?

Naona hujajibu swali , umerukia mambo mengine kabisa
 
Yani nimeandika paragraph nzima wewe unabeba kipande ulete hoja unajua kuwa hayo yametokeaje mpaka nikaandika hivyo?

Mzee Said anadai kuwa Mwl Nyerere alipata baraka za Dua ya kiislam akiwa Bagamoyo. Wakati mie najua yaliyokuwa yanafanywa Bagamoyo ni matambiko na yalkifanywa na akina Sheik Yahya na wenzake. Lakini kwa sababu muislam mmoja afanye matambiko yake huwezi kusema ni Dua na wala matambiko ya kiasili hayawezi kuhusishwa na uislam hata kidogo. Tangia lini matambiko yakawa Dua?

Swali lako halina mantiki hata kidogo, kama ilivyo uislam hausaport mkristo kufunga nashukuru kwa kumjibu mzee Said kuwa Uislam hausapport matambiko ya asili, NI KUFURU..
 
Unataka kuniambia Watawala wa nchi ni Anglicans, waingereza , halafu waanglikana wadai kuwaondoa waanglikana ??
Huo ni mtazamo wako, kwani Anglican ndo ilikuwa inatawala au wazungu walikuwa ndio wanatawala?

Aliyekuwa anatolewa madarakani ni Anglican au ni mzungu? Kuna mda inajizungumzisha tu unajitahidi sana kumtetea mzee Said ila unabwata bwata tu. Anahojiwa mzee Said na historia yake usimsemee wakati anaweza zungumza mwenyewe. Mie nimezungumzia hoja zake na vitabu vyake ila sijazungumzia dini, usiniulize maswala ya dini? Siko huko, kwani kuna sehemu nimetetea ukristo au usilam?
 
Si haba umejibu , sasa wewe utakavyoita , kwani dua ni kitu gani ? kwa mujibu wa imani yako
 
Wazungu gani waliokuwa wanatawala ?? Take it easy , tutaelewana tu , wala mimi simjibii Mzee Mohammed ,usitie wasiwasi
 
Si haba umejibu , sasa wewe utakavyoita kwani dua ni kitu gani ? kwa mujibu wa imani yako
Koran inasema hakuna wa kubudiwa isipokuwa Allah na mtume wake Muhammad (S.A.W). Swali langu ukitambika unafanya hivyo? matambiko yanahusu mambo ya mizimu, mazindiko ya mizumu nk. Again huislam hausupport mambo hayo Sheik. .
 
Mbona ulisema kuwa nawewe huzungumzii dini ?

Mimi sijasema kitu kuhusu Quran wala biblia , nimekuuliza dua ni kitu gani kwa mujibu wa imani uliyonayo ??

Usijizonge , take it easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…