Mohamed Said ''Mzungu wa Unga,'' 2007 Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

"and very fortunately " hicho kiingereza gani wewe? Unafikiria kwa kiswahili na kuandika kwa kiingereza, Kweli mnafundishwa elimu ahera, mnafundishwa na kusomewa kitabu na lugha msiyoijua,
 


Alama Mohamed Said nnakuomba nisaidie, muongezee Sooth vipande vya nje ya Kariakoo japo kiduchu alainishe koo lake maana vilivyomo havijamkata kiu.

Sooth, unanishangaza sana, hivi umeisoma mada? Nimeona Iran hummo, nimeona Lagos humo, kwenye ma posts nikaona Amsterdam, Switzerland hadi New York! Tutoke vipi tena Kariakoo zaidi ya hivyo?

Labda utupe wewe basi vya nje ya Kariakoo, au huna?
 
goodness me.. you an encyclopedia? which moron christened you as such, girlfriend?

mine wasn't an accolade....i was actually asking you to google the term "harlot", girlfriend.

yep, i know the story about mzee Kiyate. and also i know what you're trying to insinuate here, but you can't get me on that, baby!
 
Sooth,
Una joto la kifua linakuzonga.

Huu ni mjadala wa historia ya uhuru wa Tangnayika na mfano wa hayo.
Huna cha kuchangia katika mjadala huu unaleta yasiyokuwapo.

Unadhani siijui nchi yangu unaandika kwa dhana tu.
Mimi nina kitabu kizima kuhusu historia ya Tanganyika na it is ''the book.''

Mimi nilikuwa Mtafiti Msaidizi wa Dr. Harith Ghassany wakati anaandika
kitabu chake cha historia ya Zanzibar, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.''

Harvard wameniletea orodha ya majina ya watu mashuhuru wa toka enzi
ya Tanganyika niwashauri ni majina gani yaingie katika Dictionary of African
Biogrpahy (DAB).

Bado niwe sijui mjuaji uwe wewe?
Ati nitoke Karikaoo...

Naujua ulimwengu.

Nimekuambia soma zile rejea Sivalon kamtaja mbaguzi.
P van Bergen kamtaja mbaguzi na wala si sisi.

Njozi kaeleza ubaguzi unavyotendeka umeita, ''myth,'' na ''conspiracy
theory.''

Katika kitabu cha Sykes kuna topic ya ''conspiracy theory,'' ungependa
niweke hapa Majlis wana jamvi wasome nini nimesema?

Ushamsoma Sheikh Suleiman Takadir na ukajua ni nani katika kupigania
uhuru wa Tanganyika?

Mimi na Maalim Faiza tuko hapa kutoa Elimu Bila Khiyana.
 

I know what harlot means and I've even told you the ancestor of Jesus was one. Isn't it amazing?

Where did you read "the story about mzee Kiyate"?

I am not trying to get anybody here, I am just appreciating the learned like you coming into terms with truth.

Now, answer my above question please and be truthful.
 
google baby....google!

i love you! mwaaa!
Hoya mbavu, utaniua kwa kipigo lkn lazima nikuache na ngeu, utamuitaje demu wangu love?

Huyo bi mkubwa kitu changu kitambo, usinitafute ubaya na jamhuri, nikishika kitu cha chuma huwa sirudishi chini
 
Hoya mbavu, utaniua kwa kipigo lkn lazima nikuache na ngeu, utamuitaje demu wangu love?

Huyo bi mkubwa kitu changu kitambo, usinitafute ubaya na jamhuri, nikishika kitu cha chuma huwa sirudishi chini
hahahaaaa!

mume mwenza miye, basi!
 
Ulishawahi kusikia madawa ya kulevya yanatoka Vatican??Ulishawahi kusikia kuna Askofu ameshawahi kufanya Ugaidi au kujilipua??
Matendo ya Waislamu ndiyo yanayowasababishia matatizo duniani....imefika wakati sasa ukiona jitu lenye madevu lililovaa kofia ya ajabuajabu kanzu na makubazi linaogopewa kama gaidi dunia nzima kutokana na matendo ya waislamu
 

Déjà vu
Ad nauseam!
 

Maalim Faiza,
You have always amazed me...

Hili neno vijana wa sasa na wanangu hawaishi kulisema, ''Amazing...''
Na mimi mzee wao najifunza upya Kiingereza kutoka kwao mara
wananambia,'' What a throwback.''

Nauliza kwa mshangao, ''Throwback...!?''

Rafiki yangu mwenyeji wangu tunapita Mississippi River sasa ananipa
hadithi ya mto huo.

Nikamwambia, ''Jim, don't waste your breath I have been here many
times with my friends, Huckleberry Finn and Tom Sawyer...''

Jim kaniangalia usoni kisha akanambia,'' Mohamed you never cease to
amaze me...''

Maalim Faiza wanavyotufikiri sivyo tulivyo.

Unakumbuka vumbi lililomwagika nilipowaambia jamaa hapa kuwa
hotuba iliyosomwa na Mwalimu Nyerere UNO 1955 iliandikwa na
timu ya kina Abdul Sykes 1950?

Badala ya hata kuwa na akili ya kuuliza walichokijua ni kunitukana
na kutoa kejeli.

Walitulia nilipowaelekeza kwa Cranford Pratt na nilifanya vile kwa
makusudi nilijua huyu watamuamini.

Sikutaka kutoa rejea katika myaraka zake Abdul Sykes...
Amazing!
 
great, baby.... now square. i mean apart from the Jesus thing which i wouldn't want to get drawn into, of course.

pre- & post-Tanganyika independence times (or thereabouts), mzee Myate used to be Mwl Nyerere's friend or sponsor or something - whatever.

as for your question...can you come again, sweetheart?
 
Mr What,
Unaijua Banco Ambrossiano?
Naamini hujui ndiyo maana umekuja na maneno hayo hapo juu.

Waulize viongozi wako watakueleza.
 
Nanren,
Nilijua hutofika mbali na mimi...

Nipo.
Lete mapya.
Haya unayorudia rudia, kwangu yamechuja...

Nayachukulia tu kama "among the greatest hoaxes ever told"

Ukileta mapya tutaenda hata 100k pages. Ondoa shaka kwa hilo.
 
Nanren,
Hujui kitu huwezi kunikamata mimi kwa kalamu si wewe hata waalim wako.

Unaujua moto wangu ndiyo maana umekuwa mtumwa wangu unashindwa
kujitoa kwangu ndiyo sababu unasoma kila neno niandikalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…