Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #601
Antonio...Kwanza kabisa unatakiwa kurudi nyuma kabisa ktk nyakati za mitume na manabii kisha ujifunze kupitia vitabu vya dini ambavyo vinaelezea history ya dunia pamoja na tawala zake vzr kabisa kuliko namna vile mtu awezavyo kuelezea.... Kisha hivo hivo vitabu va imani vinaelezea tumetoka wapi tuko wapi na tunaenda wapi...
Ukishapitia hivyo vitabu uta conclude kua kumbe kanisa kuhozi bunge au serikali ya Tz si tatizo la Tz pekee Bali ni system ya dunia nzima....
Ukiona mtu anaongea mzee fahamu kwa namna moja au ingine ako na Rejea za kutoshaNyendeke,
Wachukulie watu na zungumzanao kwa hali zao.
Hayo ya kutaka rejea ni makubwa mno kwao hawawezi kufika huko.
Antonio,Ukiona mtu anaongea mzee fahamu kwa namna moja au ingine ako na Rejea za kutosha
Antonio,Vitabu vya dini pamoja na vitabu vya history ili kulinganisha kile kinachoongelewa ktk maandiko kua kina match
23 “Thus he said:
‘The fourth beast shall be
A fourth kingdom on earth,
Which shall be different from allother kingdoms,
And shall devour the whole earth,
Trample it and break it in pieces.
24 The ten horns are ten kings
Who shall arise from this kingdom.
And another shall rise after them;
He shall be different from the firstones,
And shall subdue three kings.
25 He shall speak pompous words against the Most High,
Shall persecute the saints of the Most High,
And shall intend to [HASHTAG]#change[/HASHTAG] [HASHTAG]#times[/HASHTAG] and [HASHTAG]#law[/HASHTAG].
Then the saints shall be given into his hand
For a time and times and half a time.
[emoji115][emoji115][emoji115]
Hiyo ni moja ya Rejea
Humo kwenye hash tag ndio kuna hoja yangu ya msingi...
Ukiomba nikufafanulie hiyo mistari niambie
Omulasi,Mtu wa namna hii hata elimu yake ya chuo kikuu anaidharirisha. Ukiuliza vizuri atakuwa wa ukanda wa pwani au kusini. Kupigania uhuru wapigqne wakishaupata wanaondoshwa kwenye mamlaka hii haingii akikini. Kama ni ukweli basi hawanazo kichwani haiwezekani ulime halafu avune mwingine. Halafu hizi dini za uchochezi na kulazimisha huyo mungu wao aaminiwe kwa upanga zinanipa mashaka kuwa anayeabudiwasio Muumbaji
Ooooops sorry nalipitiwa kidogo mkuu...Antonio,
Tafadhali weka ni kitabu gani na ukurasa upi hivyo ndivyo rejea zinavyowekwa.
Mfano:
M.A. Bienefield, ‘Trade Unions, The Labour Process,’ JMAS Vol. 17 No. 4 December, 1979, pp. 557-558.
Nitaweka taratibu na kuzifafanua pale watu watakapo hitaji ufafanuzi zaidiAntonio,
Itakuwa vyema uziweke hizo rejea ili sote tuelimike.
Moja hiyo nimeweka toka Daniel 7: au hujaiona? Narudia tena nitaweka Rejea kadri mjadala utakavyokua unaenda na ufafanuzi zaidi...Antonio,
Usijitaabishe bure.
Hizo rejea ungekuwa unazo ungeliweka.
[quote uid=12431 name="Mohamed Said" post=24857839]<b>Antonio</b>,<br />Tafadhali weka ni kitabu gani na ukurasa upi hivyo ndivyo rejea zinavyowekwa.<br />Mfano:<br />M.A. Bienefield, ‘Trade Unions, The Labour Process,’ <i>JMAS</i> Vol. 17 No. 4 December, 1979, pp. 557-558.[/QUOTE]<br />Ooooops sorry nalipitiwa kidogo mkuu...Antonio nimekuonyesha namna ya kuweka rejea. Unaanza na jina la mwandishi, jina la kitabu, publisher, mwaka kitabu kilipochapwa pengine na mji na ukurasa wa nukuu ilipo.
Mi nafikiri umenielewa vzr hasa niliposema kitabu cha Daniel 7 na hayo mafungu niliyoweka yanajieleza....sasa hayo mengine unayotaka wewe mmmmmmhAntonio nimekuonyesha namna ya kuweka rejea. Unaanza na jina la mwandishi, jina la kitabu, publisher, mwaka kitabu kilipochapwa pengine na mji na ukurasa wa nukuu ilipo.
Antonio,
Ahsante.
Huo ni uwanja mwingine ambao singependa kuingia kwa sababu zilizo wazi kabisa.
Naingia Maktaba In Shaa Allah nimepata kutoa mada Chuo Kikuu cha Johannesburg katika maeneo hayo labda utaweza kupata kitu.
lisemwalo lipo kama halipo linakujaMpaka hapo ulipoishia ni kuwa message yako inalenga kwenye udini..! acha udini mkuu na propaganda za chuki dhidi ya muislamu na mkristu.
REJEA.
“Nakuapieni nyie msingethubutu kumkamata Mkristo anaetoka Vatican mkutanoni. Lakini kwa kuwa mie ni Muislam sina wa kunitetea. Nchi hii nani atakuuliza kwa kumnyanyasa Muislam?” Walishtuka na wakawa wanyonge sana wakasema si kweli kuwa naponzwa na dini yangu.
Naufuatilia sana huu mjadala, katika majibu yote hapa umejichanganya kweli....unataja "unyanyasaji" unakataa "uonezi"Wa kusoma,
Umesoma hiyo tayari ushafunga ubongo wako.
Hapo nazungumza kuhusu dharau.
Labda nikuulize.
Wanaweza maaskofu wakafungwa Tanzania Bara kisha wakatolewa
na kupelekwa Zanzibar kufungwa na huko wakalawitiwa na Waziri
wa Mambo ya ndani kuulizwa akajibu uchunguzi utafanyika lakini
wataangalia kama maaskofu hawakuwa wanafanya vitendo hivyo
kabla?
Majibu haya ndani ya Bunge.
Anaweza kuingia nchini Mkristo na vitabu kutoka Vatican akaulizwa
kwa nini unaingiza vitabu vya Pope nchini?
Yuko mwenye ujasiri huo?
Rejea kwenye maneno yangu upya na jifungue kamba ulizojifunga ili
utazame picha kubwa ya sakata hili lote.
Ipeleke akili yako kwenye, ''kibri,'' na ''kupuuza.''
Ondoka huko kwenye fikra za, ''uonezi.''