Sasa kama waislam walipigania vita ya uhuru sisi tuliozaliwa baada ya uhuru yanatuhusu nini? Yanatusaidia nini? Sisi tunajua hii nchi inaitwa Tanzania tutaishi hapa kwa Amani na upendo, Story zenu za mkoloni zimepitwa na wakati, Ongelea mambo ya teknolojia na maendeleo, Dini hizi ni propaganda za waarabu na wazungu, Wao wanakula bata mbaya na wanaenjoy maisha nyie wanawavisha makanzu na mabarakashia na Misalaba
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]Kanzu za pengo hujaziona?
Ntarudi.
Gussie,Sasa kama waislam walipigania vita ya uhuru sisi tuliozaliwa baada ya uhuru yanatuhusu nini? Yanatusaidia nini? Sisi tunajua hii nchi inaitwa Tanzania tutaishi hapa kwa Amani na upendo, Story zenu za mkoloni zimepitwa na wakati, Ongelea mambo ya teknolojia na maendeleo, Dini hizi ni propaganda za waarabu na wazungu, Wao wanakula bata mbaya na wanaenjoy maisha nyie wanawavisha makanzu na mabarakashia na Misalaba
Hizi dini zenu nikizisikia naona kichefu chefu sana sana, Yaani unakuta mtu jua kali amevaa dela jeusi na kuziba sura, mtu anakuwa kama kobe akiona hatarihttp://www.globalresearch.ca/non-mu...0-of-all-terrorist-attacks-in-america/5333619
Shindana na research na kupayuka.
Mr. May,Inaendelea?
Bagamoyo,Kumbe anayofanya Trump yapo nchi mbalimbali kama za Saudia Saudi Arabia puts 30 Shias on trial for spying for Iran - World - DAWN.COM , Qatar, USA, Bahrain, Tanzania, Germany, Turkey, Australia n.k kuwa ukienda nchi Fulani (Iran, Sudan, Yemen) basi tegemea kupata mahojiano ya ziada na usalama wa taifa/uhamiaji ktk viwanja vyao vya ndege/balozi za nchi nyingi kama nilizozitaja hapo juu kwa uchache.
Hapa Mohamed Said anatufahamisha kuwa alifadhiliwa na Marekani ktk baadhi ya safari zake bila kufahamu kuwa inawezekana pia Marekani inatumia mbinu ya ''kumkumbatia '' mtu ili wamuelewe zaidi (intelligence collection) na hata kutuma taarifa zake kwa nchi ''rafiki''.
Kuwa na adabu huwezi kumuita Mohamed Said "we" kama a naleta udini katika mada zake acha kuzisoma sio unajitoa ufaham kwa kuwa upo nyuma ya keyboard.
Huyu mzee ni muhimu sana kwa elim ya historia hapa jamvini, kama unamuuliza, basi fanya hivyo kwa staha
Ng'wanangwa,babu buana mi napenda unavoandika kwa kiswahili fasaha tu. kilichonyooka. naam, hakika umejaaliwa.
taabu yangu kwako babu: kwa nini kila andiko lako lazima utie 'sumu' ya udini?
babu, hivi unaweza kututhibitishia maofisa waliokupekuwa walikuwa wakristo?
Lebron,Acha u.pu.m.bavu....majitu yanayoshindwa hoja yaananza vitisho..nani kakwambia Mohamed ni binadamu maalumu zaidi ya wanadamu wengine?
Hoja ndio zigombe,sio mnaleta vitisho vya kikoloni ku-suppress free speech."We" ni mtu na sio tusi,msilete udikteta maandazi.
Gussie,Hizi dini zenu nikizisikia naona kichefu chefu sana sana, Yaani unakuta mtu jua kali amevaa dela jeusi na kuziba sura, mtu anakuwa kama kobe akiona hatari
Gussie,
Ikiwa historia ya uhuru wa Tanganyika wewe haikuhusu ni sawa.
Wala hakuna mtu atakae kulazimisha uisome.
Lakini tuko sisi ambao imetuhusu kwa kuwa ni historia ya wazee
wetu na tunapenda kuiadhimisha.
Unaweza ukayasema yote uliyosema lakini jifunze kuvika nguo
maneno yako.
Hiyo ndiyo adabu na uungwana.
Hasifiwi mtu kwa matusi na ujuba.
Kwa wewe kunijibu mimi kwa kejeli utawakaribisha watu katika
mjadala huu wetu mabingwa wa hayo kukushinda.
Nimezimiss zile zama za Bubu ataka KusemaDuh!
Lebron sina chuki na mtu.Mkuu Mohamed
Nina swali dogo sana,hivi kati ya mabinti zako ulio nao,akatokea mhindu au mkristo au mpagani kabisa anataka kumuoa,na wamependana ni watu wazima kwa hiyari yao,utakubali kumuozesha bintiyo kwa huyu mtu?
Kwanini una chuki sana na dini zingine hasa ukristo?Tatizo lako ni nini hasa?
Dini iliyoujaza moyo wako chuki kubwa namna hiyo haikufai...hiyo mifumo unayoisemea an innocent christian do not know them but again unamchukia huyu poor human being...
Usinidanganye huna chuki,you have an embedded hatred inherently in you....huwenda huwezi jua ila unayo,ukikataa ni denial tu.
I wonder mtu unaishi kwa hatred namna hii dunia hii sababu tu kuna kitabu kimesema hivyo....hizi dini ni za kuacha altogether...mwanadamu uliekamilika,mwenye ubongo sahihi,huna haja ya kufuata alichoandika mwanadamu mwenzio eti ukifuata ndio maisha sahihi wakati na yeye naye ana madhaifu ya kibanadamu kama wewe...hebu sometimes tutumie common sense tusisababishe maumivu kwa wanadamu wenzetu...dini ni useless na ni vyanzo vya chuki,hii ni kweli ni proven.
Hizi dini zenu nikizisikia naona kichefu chefu sana sana, Yaani unakuta mtu jua kali amevaa dela jeusi na kuziba sura, mtu anakuwa kama kobe akiona hatari
Bagamoyo,
Hayo usemayo si kweli kuwa wanaoingia katika nchi kama Saudi Arabia, Iran nk
wanafanyiwa mahojiano.
Nchi zote hizo ulizotaja nyingi nimefika na sijayaona hayo.
Ikiwa hayo yatafanyika itakuwa makhsusi kwa sababu maalum.
Hao Wamarekani wao wana kawaida ya kutaka kujua kila kitu
duniani na mimi nilikuwa na elimu ambayo wao walikuwa hawana.
Kabla ya kualikwa Marekani nilikuwa katika mradi wa Harvard na
Oxford University Press, New York wa kuandika Dictionary of
African Biography (DAB) kuanzia 2008.
Mradi huu ulikuwa wa kuandika historia ya watu mashuhuri Afrika
waliofanya mambo ya kutukuka.
Waliniletea orodha ya wanasiasa wengi wa Tanzania na kutaka
niwafahamishe ikiwa katika hiyo orodha wao watu, ''remarkable,''
ambao lazima watambulike.
Kazi hii ilikamilika 2011 na buku likatoka lina volume 6.
Kipindi hiki nilikuwa katika mradi mwingine na
Oxford University Press Nairobi kuandika vitabu vya historia kwa shule za msingi.
Labda nnikufahamishe kuwa nilikuwa member wa Library of Congress
toka 1980s.
Makala zangu nyingi zipo hapo Library of Congress.
Kwa hiyo mimi na rafiki zangu Wamarekani hatukukutana barabarani
chembelecho Edward Lowassa.
Urafiki wetu ni wa miaka mingi.
Tumegombana kwenye suala la Uislam baada ya mie kuandika hiyo
paper ya Ibadan.
Nitakuwekea link ya DAB hapo chini.
Sasa ndugu yangu wewe unajiandikia kwa dhana tu ukidhani kuwa
unajua.
Mohamed Said: KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK
Library of Congress, Washington DC
Maandishi ya Sheikh Mohamed Said hayakamiliki bila kuunyooshea kidole Ukristo. Kwamba Ukristo ndio unarudisha nyuma jitihada za Waisilamu wa Tanzania kujiletea maendeleo yao wenyewe. Hivyo ni sahihi kuhitimisha kwamba ukiondoa Ukristo Tanzania , waumini wa dini ya Sheikh Said watapata maendeleo ya kuonewa wivu humu Tanzania.
Lakini ndani ya Ukanda huu wa Afrika ya Mashariki, hususani hapo ng'ambo ya Bahari ya Hindi (Zanzibar), Mombasa,Kenya (tamka Mambasa), Salima, Mozambique, Djibout ama Somaliland ambapo waamini wa dini ya Sheikh Said ni wengi, je maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii pia yanakwamishwa na wananchi wachache wenye imani ya Kikristu?
Citizens of all countries require a visa to visit Saudi Arabia except the citizens of the Gulf Cooperation Council members, Bahrain, Kuwait, Oman, Qatar, and United Arab Emirates.[1] All visitors must hold a passport valid for 6 months.[2] Visitors holding passports containing any Israeli visa or stamp may be refused entry; Israeli passport holders are refused admission and transit.[3][4]
In December 2013 Saudi Arabia announced its intention to begin issuing tourist visas for the first time in its history. Council of Ministers entrusted the Supreme Commission for Tourism and Antiquities with visa issuing on the basis of certain regulations approved by the Ministries of Interior and Foreign Affairs.[5] A limited tourist visa programme was cancelled in March 2014. Visa policy of Saudi Arabia - WikiVisually