Ahsante Mzee Mohammed Said kwa uliyoyaeleza, ni maneno yenye tafakuri na elimu nzuri ndani yake hasa kwa yule atakaye kuelemika. Allah akuhifadhi na azidi kukupa umri mrefu na wenye manufaa ili nasi tuzidi kunufaika nawe.
Nilifunzwa na Sheikh wangu alipokuwa akieleza maana ya ELIMU kuwa:-
ELIMU NI KUFAHAMU KITU KWA HAKIKA YAKE.
Nashukuru kuna mambo kupitia makala zako sasa nayafahamu kwa hakika yake mbali na vile nilivyoaminishwa mwanzo kupitia mitalaa yetu ya kielimu.
Allah azidi kukuhifadhi.