Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga

Status
Not open for further replies.
U
Utaji wao ndio unaowafanya wawe hivyo, kuna chochoko nyingi kutoka nje..

Rasilimali ya mafuta ndio laana..
 
jiwe na mwanaye Bashite sasa hivi wanakujengeeni msikiti... mwahitaji nini cha zaidi tena ndugu zangu wapendwa?
 
Masikini wa gerezani, walichangia samaki, thumni, teheteheee tehetehee
 
Hata Kimoja tuu walichonacho cha morogoro kimewashinda.
 
Mwisilamu hata akisoma vipi haelimiki
Nakuombeni sana, msiwakashifu Waislamu wote kwa sababu tuu ya Waislamu wachache wajinga wajinga kama hawa.

Mimi nimelelewa sana kimaisha na Waislamu, Tangu nikiwa RTD, tumeanza kazi siku moja na Aboubakar Liongo, mtoto wa Mzee Sheikh Jumaa Liongo (RIP)pale Ilala Flats. Nimeanza kujitegemea tukapewa flat na Dada Mwajuma Mchuka, akiwa ATC, pale Ilala Sharrif Shamba, tumekaa na Abou nyumba moja, nyumba ya pili akikaa Halima Mchuka (RIP), hawa wote ni Waislamu safi. Japo mimi ni Mkristu, mwenzi Mtukufu wa Ramadhani nilijikuta nafunga hivyo tunafuturu pamoja, japo mimi mwenzao, nilikiwa nikizidiwa, nakazia kimya kimya, halafu jioni kufuturu kama kawa.

Tangu enzi hizo Abou kwao ni kwangu, kwangu kwao, mpaka leo mpaka kesho, kila siku ya Iddi, mimi na familia yangu ni pilau na biriani pale Ilala kwa mama Liongo, tumeoa, tumezaa hadi sasa tuna wajukuu tuko kama ndugu.

Kuna wengi wanadhani kile kipindi cha Kiti Moto ni changu, mimi nilikuwa mwendeshaji tuu, yaani host, mwenye kipindi halisi ni kijana wa Kiislamu Ali Omar, au Ali Oki, na Jove, baba yake Ali na Sheikh Jabir ndio watu wa kwanza kufungua video studio jijini Dar, Studio ya Jabir na Omar, JO Traders. Hawa walinilea vyema sana Kiislamu na kunipeleka kwa kina Sheikh Kassim Bin Jumaa, Sheikh Nurdin, Sheikh Comorean, etc, wote hawa ni Waislamu safi sana.

Tusiwahukumu Waislamu wote safi kwa ujinga wa hawa Waislamu wachache wajinga wajinga.
P
 
Na huko tutafika tu, kwasababu kuna baadhi ya culture siyo conducive kwa maendeleo.
 
Apeleke upuuzi wake Uko.Asili ya TANU no Chama cha Wafanyakazi TAA
 
Noted mkuu. Shida ni kwamba hawa wachache wanaharibu kabisa uislam wenyewe.

Nina mzee mmoja mtaani kwetu alikua rafiki yangu wa muda mrefu, alijitahidi sana kunishawishi niingie uislam nilivyo goma sasa Kani fanya kua adui yake. Hata salaam hataki.
 
[QUOTE="FaizaFoxy, po
Chanzo: https://sw.m.wikipedia.org/wiki/Mohamed_Said
[/QUOTE]

Inawezekana, ila siamini chama cha kiislamu kuongozwa na Kafiri hii ni ngumu kumeza, yaani chama kama hezbolah ya lebanon iongozwe na mkristo aitwaye kafir ki imani. Huenda kwa Nyerere ilikuwa tofauti. au Nyerere alikuwa boya tu pale
 


hongera sana kwa kujijua wewe ni Fala.

Unapenda udini sana unatamani Dunia nzima wawe waislam na waongozwe na waislam, hiyoo ni akili Ya Fala sasa
 
Hivi mada kama hii inajenga au inabomoa? Sioni msingi wake kwa iki kizazi cha leo.

Ili ni pigo kwa Jf kuwa na Bibi kilaza kama wewe.
 
Trumpeter anaonekana anaropoka ila yupo sahihi wewe ni kigalula ni mmoja wa waafrika mnaotakiwa kupimwa na kuchunguza kama waafrika waarabu koko wanastaili kuwa binadamu au wapo kwenye kundi la wanyama pori.Binafsi najia ukombozi na vyama vya ukombozi kuanzia TAA,TANU na vilivyo kuwepo kabla ya hivyo ni matokeo ya mashujaa kama Mangi Simeon kokkan laiseri,Mango meli,mangi mariale,mangi shangali na wengine.Hakuna dini ya aina yeyote iliyotaka kuikomboa afrika zaidi ya kuinyonya.
Waarabu na dini yao walikua mbwa na wataendelea kuwa mbwa tu.
Wazungu na dini zao walikia mbwa na wataendela kuwa mbwa tu.
Na misukule inayotetea kuwaabudu nayo ni mbwa tu shame on you unataka kusema uhuru ulichangiwa na dini swine kabisa.
 
hongera sana kwa kujijua wewe ni Fala.

Unapenda udini sana unatamani Dunia nzima wawe waislam na waongozwe na waislam, hiyoo ni akili Ya Fala sasa
Naona mada imekushinda, kuwa falah kwangu ni sifa kubwa sana.

Unaijubu vipi mada, una historia mbadala ya hii ya Mohamed Said?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…