Mohammed Dewji ajiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya simba, amteua Salim Abdallah (Try Again) kuchukua nafasi yake

Sasa we ndo umeongea cha maana ,siyo watu kulia lia mo amesusa
 
Ebu acha umbumbumbu, MO yeye ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simba. Klabu ya Simba mtendaji wake mkuu ni Barbara yeye anafanya Mambo yote kwa uhuru, mshauri mkuu wa MO na Barbara ni Magori.
Leo hii baada ya miaka minne MO anasema anasafari nyingi za kibiashara kwaiyo Try again ata mrithi. Ivi kwa mtu anayefikiri sawasawa si anajua kabisa MO ame bwaga manyanga!!(amejitoa) Kwani miaka yote iyo safari si alikua nazo !! kwanini MO asiendelee na Safarizake za kibiashara uku akiendelea kua mwenyekiti wa bodi na Kama hatokuwepo kwenye kikao Try again amwakilishe?
Au kwanini ikitokea siku ya kikao na yeye ikatokea Yuko mbali kwasababu yoyote Ile kwanini wasitumie video conference?

Kwa ujumla MO amesha Susa, Sasa tafuteni watu wa kumbembeleza. Mtumeni Amos Makala maana Makonda hayupo. Ivi Duniani Kuna wafanya biashara wangapi ambao wapo katika bodi mbali mbali Tena katika Taasisi ambazo wao ni wenyeviti wa bodi waliamua kujiuzuru kwasababu ya safari?
 
Hao wenye nia wako walikuwa wapi kabla simba haijawa hivi ilivyo?
 
kweli unayosema miaka 4 alifanyaje
 
Mo amebwaga manyanga huku kaweka hela zake?
 
Ushawapi wapi kuona popote Duniani company au shirika lenye muundo wa Bodi Mwenyekiti wa Bodi anapotoka au kujiuzulu yeye mwenyewe ndio anachagua au kuteua mwenyekiti mpya wa Bodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…