Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Kama kwa miaka mnne ametoa 21bln, na leo imewekwa 20bl, basi mikia mtacheka kwa miaka minne tu! baada ya hapo ni kununa,
 
Simba wanahitaji ukaguzi Maalumu ndani ya club yao maana mahesabu yao hayapo sawa.

Imagine yanga ilikuwa inatembeza bakuli lakini ukaguzi wake wa mapato na matumizi mwaka huu uko vizuri wamebaki mpaka na chanji.

Simba kuna tatizo
Uwazi wa mapato na matumizi ya klabu kitu ambacho Yanga ndo walikifanyia mabadiliko kwenye katiba yao ili kuendana na mabadiliko ya klabu, pale simba ukaguzi wa hesabu zao unahitajika
 
Uwazi wa mapato na matumizi ya klabu kitu ambacho Yanga ndo walikifanyia mabadiliko kwenye katiba yao ili kuendana na mabadiliko ya klabu, pale simba ukaguzi wa hesabu zao unahitajika
We unakuhusu nini huo ukaguzi wa hesabu
 
Simba wanahitaji ukaguzi Maalumu ndani ya club yao maana mahesabu yao hayapo sawa.

Imagine yanga ilikuwa inatembeza bakuli lakini ukaguzi wake wa mapato na matumizi mwaka huu uko vizuri wamebaki mpaka na chanji.

Simba kuna tatizo

Hao yanga na ukaguzi wao wa ndani wamepata mafanikio gan?
Mlipiga kelele mo aweke mzigo haya kaweka mnaleta porojo nyingne

Kuna msemo unasema huwezi kumfurahisha mwanadamu
 
Uwazi wa mapato na matumizi ya klabu kitu ambacho Yanga ndo walikifanyia mabadiliko kwenye katiba yao ili kuendana na mabadiliko ya klabu, pale simba ukaguzi wa hesabu zao unahitajika

Wewe utopolo utakusaidia nini huo ukaguz wa simba
 
Reactions: mmh
Wewe utopolo utakusaidia nini huo ukaguz wa simba
Nyie si mpo kwenye mfumo wa uendeshaji wa kisasa, na mfumo huo upo kwenye katiba yenu unahitaji ukaguzi wa hesabu za klabu na kuwekwa wazi, haiwezekani inatuambia eti ukapata hasara kila siku na hupati faida
 
Hao yanga na ukaguzi wao wa ndani wamepata mafanikio gan?
Mlipiga kelele mo aweke mzigo haya kaweka mnaleta porojo nyingne

Kuna msemo unasema huwezi kumfurahisha mwanadamu
Kumbuka hayo mafanikio ya klabu sio ya milele na kuna kipindi utaanza kufanya vibaya na wakati huo mtaanza kulaumiana mambo kadha wa kadha, tayar kipindi hicho mtakuwa mmchelewa na kutambua mmeibiwa sana
 
Kwahiyo thamanu ya simba ni billion 41?

Mh bado nitakuwa wa mwisho kuamini hili.
Halafu hizo Bilion 21 alizokuwa anazitumia sio uwekezaji hilo atambue, alichokuwa anakifanya ni ufadhili tu, na kwenye mkataba ulisainiwa ni Bilion 20 ndo thamani ya klabu na sio Bilion 40
 
Jamaa anaakili sana
 
Washabiki wa simba siku zote wanataka makombe hawajali timu anamiliki nani, sasa yanga timu inamilikiwa na wananchi halafu makombe hawapati
 
Reactions: mmh
Thamani ya klabu ya simba ni Bilioni 20. Ngoja tusubiri thamani ya klabu ya Yanga itakuwa ni kiasi gani?
Hivi ni uwezo wenu mdogo wa kupambanua mambo au? 20B ni 49% nyau wewe
 
Kwahiyo thamani ya klabu ya simba bado ni bilioni 20?
Mimi nafikiri thamani ya klabu imepanda tayari, na je, ni nani aliyefanya tathmini ya klabu ya simba na kusema ni hiyo bilioni 20
Kabla hujataka kujua yote hayo inabidi ujue ni nani aliyepandisha thamani ya simba kwa kipindi hiki cha miaka mi4
 
Reactions: mmh
Hivi ni uwezo wenu mdogo wa kupambanua mambo au? 20B ni 49% nyau wewe
Legeza misuli ya Kichwa ww, hiyo 49% ya hisa kwa bilioni 20 ukitaka kujua ni ndogo sana, basi subiri mchakato wa mabadiliko wa wananchi ndo kuna kila kitu
 
Nani kaipandisha hiyo thamani? Tuanzie hapo kwanza
Klabu inajipandisha yenyewe thamani mkuu, Ushawahi kujiuliza kwann alipoichukua African lyon na pesa zake zote ila alishindwa kuipandisha thamani hiyo timu hahhahaah mbumbumbu katika ubora wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…