Mohammed Dewji: Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika, aweka bilioni 20

Just sell media right for more than 40 billions in 10 years only

But Mbumbumbu sale their whole club in life time for 20 billions! That's joke

Yani ungenyamaza Kimya ungeficha mengi kuhusu madhaifu yako! πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti 'whole club' πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ labda whole ya Nyoko...

Simba haijauza Timu bali imeuza sehemu tu ya hisa zake asilimia 49% kwa thamani ya Tshs. 20B, kuna 51% zilizobakia kwa Wananchi unajua zina thamani ya Tshs. ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi Uto kwanini munashindwa kujua Vitu rahisi kama hivi?
 
Msio na hela huwa na maneno meeeeengi!
 
Wengi wanaongelea Simba ambayo imechukua Ubingwa mara 4 mfululizo
Simba ambayo imefika Robo Final
Simba iliyochukua FA mara 2 mfululizo
Simba yenye Uwanja wa Mazoezi
Simba yenye Hostel nzuri
Simba yenye wachezaji wazuri
Simba yenye benchi zuri la Ufundi


Hawaongelei Simba ya 2016 muda ambao Simba haikuwa na vyote hapo juu, na huo ndio wakati mchakato ulianza
 
Narudia tena, Even in his 49% investment still Mo dewji remains the main man who have all the full control of the club in each and everything than the club members who have 51% of investment.
 
Tajiri ana maneno ya Kiswahili huyu sijawahi ona, Angekuwa yeye ndo Azam Bakhresa kwa madeal yake ya Over 40 billions angekuwa anaita press kwenye channel ya supersport
 
Tajiri ana maneno ya Kiswahili huyu sijawahi ona, Angekuwa yeye ndo Azam Bakhresa kwa madeal yake ya Over 40 billions angekuwa anaita press kwenye channel ya supersport
Nenda kamshtaki CAS ili anyang'anywe hizo hisa.
 
Reactions: mmh
Just sell media right for more than 40 billions in 10 years only

But Mbumbumbu sale their whole club in life time for 20 billions! That's joke
Hio ni kawaida kwenye biashara yyte mzee..iwe mpira iwe real estate au yyte ile pesa ya mara moja hua ni chache ukilinganisha na pesa ya kidogo kidogo

Liverpool thamani yake ilikadiriwa kua 1.3B by 2019 lakini kwa mwaka tv rights wanapata zaidi ya 200M inamaana kwa miaka kumi itakua walishika pesa mingi sana zaidi hata ya thamani ya club hivi sasa ipa sasa hizo pesa wanapewa kidogo kidogo hawawezi hata kwa dawa kupewa kwa mara moja

Mwaka 2010 Liverpool iliuzwa kwa 300M lakini mwaka uliofuata TV right ziliwapatia zaidi ya 100M

Mwaka jana Liverpool ilisign na nike mkataba wenye thamani ya 90M na zaidi kwa mwaka wa jezi ina maana ndani ya miaka 10 itakua imepata zaidi ya 1B considering baada ya miaka 5 dau litaongezeka
Hivyo ni kawaida sana timu kua na maingizo madogo madogo ambayo in 10 yrs yanakua na ujumla wa juu sana zaidi hata ya thamani ya timu yenyewe..

Tukirudi hata nyumba za kupanga ni vile vile..nyumba yenye thamani ya 30M utapangishiwa kwa 250-350 kwa mwaka ndani ya miaka 10 itakua iliingiza pesa zaodo ya thamani iliyokuwepo wakati mkataba unaanza ila hakuna mpangaji atakupa pesa ya miaka 10 yote bora akanunue nyumba
 
Alie elewa hapa aje afanye kama kuvunjavunja, ili na mm nitoke na kitu
Note:Hizo pesa hapo juu kwa Liverpool ni Tshillings, euro, pound au USD
 
Simba inamtangazia DEWJI biashara zake pia sio kuangalia upande mmoja tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…