Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Sasa mkuu ajali imeonekana kwenye CCTV, wew unadhani wakisema kafa yule italeta taharuki gani kwa jamii?Ile impact ni Kubwa sana ngumu kutoboa,wanachofanya MNH ni kubuy time kwanza maana wakitoa taarifa za kifo hapo hapo italeta taharuki,wana JF wengi ni rahisi sana kudanganywa ,wao kila kitu wanameza wala hawadigest...irudie tena na tena ile CCTV video kwanza.
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app