Wewe huna hoja ya maana hapo....
Mtu yeyote apatae impact kama ile anaweza kupata maumivu na madhara ambayo hupelekea yeye majeruhi kupoteza fahamu kwa kipindi kirefu.
Inategemea ubongo wake umedhurika kiasi gani!
Halafu sio kila mtu aliyeko Dar es salaam,anao ndugu wa karibu.
Kuna makundi mengi tofauti ambayo hayana ukaribu na ndugu zao,ambao wanaweza kufanya follow up ya mapema.
Na wengine hata makazi ya kudumu hawana .ni homeless.
Pia watanzania sio wote wenye vitambulisho vya NIDA au vyeti vya kupigia kura.
Na sioni sababu ya Serikali kuficha kifo cha raia wake,ambae amepatwa ajali mbele ya hadhara.
Ifichwe kifo chake ili iweje?
Hoja yako wewe
MINOCYCLINE ni mfu na inathibitisha kuwa wewe ni Minor thinker!